Kampuni ya simu TECNO yazindua rasmi TECNO Spark 5pro

Kampuni ya simu TECNO yazindua rasmi TECNO Spark 5pro

Nina tecno spark moja ivi, yaani hio imenifanya nisinunue tena simu za tecno! Simu ilikuja kugoma kuwaka hafla ikanilazimu kuiformat kila kitu. Hata hivo, simu linagnda kila wakati na wala hamna apps nilizoweka zaidi ya whatsapp.
 
Kuna muda inajiwasha tochi yenyewe tu ikiwa mfukoni,utasikia paja linaungua tu kwa mbaaaaali taratiiiiiibu.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseee
 
Back
Top Bottom