Nina tecno spark moja ivi, yaani hio imenifanya nisinunue tena simu za tecno! Simu ilikuja kugoma kuwaka hafla ikanilazimu kuiformat kila kitu. Hata hivo, simu linagnda kila wakati na wala hamna apps nilizoweka zaidi ya whatsapp.
Sema unachotaka kusema mkuu ila tecno ni kero sana!
Simu gani inadownload app yenyewe wakati kwenye setting sijaruhusu? Mbaya zaidi ukiwa kwa internet simu inakuwa ya moto hadi inaleta hofu