Kampuni ya Tahmeed yaleta mabasi mfano wa ndege

Bus mfano wa ndege nikajua linaruka! Kumbe lina viti vyenye lcd screen kama Vits yangu!
 
Waambie OUR SAFETY IS OUR CONCERN......
 
Hayafai kwa sisi wapima oil tukiwa safarini,tunataka siti za kubanana
 
Hazina hata choo kumbe! Sasa mie napenda zile basi full luxury hapo bado hamjanishawishi.
Halafu Tanzania basi za luxury kweli ni tatizo yani zipo chache sana na ni route chache tu kuna wapuuzi huwa wanadai mabasi yao ni luxury ukilichunguza unakuta ni semi tu huu ni utapeli.
Sumatra sijui wanafanya nini?

Tunatafuta pesa halali mjue tena kwa akili na nguvu so ninapoitumia pia nataka comfortability full kila sehemu ninapokuwa.
 
Mkulu angenunua kama haya kuliko bombardier zinazogoma kuwaka na kufunguka milango ikiwa hewani
 
Dar express
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…