Kampuni ya Tahmeed yaleta mabasi mfano wa ndege

Unaziongeleaje ndege?
 
sibahatishi nisemacho, hata ratco zilikuwepo. ila hakuna za kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuna zaidi ya Tahmeed. pia nikukumbushe hatupo hapa kubishana

Duh!!we jamaa unabisha wakati watu tumepanda kabisa

Shabiby anayo tokea Mwaka jana full kuanzia mwanzo hadi mwisho ni 2 by 1 tena na choo ndani plus tv kila kiti

Kimbinyiko dar dom zipo zenye mchanganyiko wa 2 by 2 na 2 by 1 kwenye basi moja na Pia lipo la 2 by 1 full kuanzia mwanzo hadi mwisho
 
Yan jamaa anataka kutuaminisha kama hizo gari ndo kila kitu ebo!!! Anyway hata ikiwa 1 by 1 me sehemu ambayo msweden yupo sinaga tabia ya kupanda mchina.
 
Nipo arusha narudi dar alhamis hii. Vipi yameshaanza kufanya kazi niondoke nayo? Naomba contacts zao
 
Unaziongeleaje ndege?
At least ndege huwezi kusafiri muda mrefu kama basi...Na ninavyojua kwa upande wa ndege ni lazima zile TV zina uwezo au zimewekewa kifaa maalumu cha kuzuia radiation kama ilivyo katika baadhi ya simu ambazo zina gharama kubwa...Kuna vifaa maalumu vya kuzuia radiation katika simu, tv, laptop nk....ni vyema hawa watu wa mabasi wakavitumia.
 
...Kuna vifaa maalumu vya kuzuia radiation katika simu, tv, laptop nk....ni vyema hawa watu wa mabasi wakavitumia.

Hapa sasa ilibidi umuulize falcon mombasa kama hivyo vifaa vimewekwa
 
Mmmmh voda?
Humu jf kuna watu wanamfahamu mtu kuliko anavyojifahamu.
Iv uyo kwny avatar ni ww? Halafu ukiomba kaz ya ukonda kwny hayo mabasi na kule voda unamuachia nan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…