Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Unaziongeleaje ndege?Wataalamu mbalimbali wa mambo ya Radiation ambazo zinasababishwa na vitu kama TV, simu nk. Mnaliongeleaje hili swala la kukaa na kusafiri masaa zaidi ya matano umeegemea siti ambayo nyuma yake kuna TV inayozalisha radiation....mfano huu hapa katika hiz basi za Tahmeed. Wasiwasi wangu ni kuhusu madhara yatokanayo na kukaa karibu na radiation hasa eneo la ubongo.