Kampuni ya Tahmeed yaleta mabasi mfano wa ndege

Una uhakika au unaleta story za vijiweni?
Tahmeed ni ya wakenya ilianza huko na website yao proves kwamba ni kampuni ya Kenya.
Domestic routes za Tanzania wanaruhusiwa kuoperate ili iweje?
Amka ndugu!
 
Shabiby na kimbinyiko anayo haya mabasi tangu mwaka jana mkuu....hakuna jipya apoo
 
Una uhakika au unaleta story za vijiweni?
Tahmeed ni ya wakenya ilianza huko na website yao proves kwamba ni kampuni ya Kenya.
Domestic routes za Tanzania wanaruhusiwa kuoperate ili iweje?
Amka ndugu!
Cicero wewe unapaswa kupuuzwa, mara zote huna la kuongea wala hujawahi kuongea point wala huna unachojua.
 
hizi ni mvua za rasha rasha tu
 

Attachments

  • IMG-20170130-WA0046.jpg
    52.1 KB · Views: 121
Naomba tu niulisage tu maswaali mawili tu:-

- Naa sisi wasukuma mtaturuhusu kuyapanda

- Tutaweza kupandapo na viatu
 
Aaahh aisee nilivockia kama boeing nikazan zinamabawa bhana fasta nikadownload picha dooh yan wabongo bhana kwa kujua kupamba vtu wakonjema sasa nini cha ajabu hapo
 
Aaahh aisee nilivockia kama boeing nikazan zinamabawa bhana fasta nikadownload picha doohyan wabingi bhana kwa kujua kupamba vtu wakonjema sasa nini cha ajabu hapo
 
hizo siti za katikati hazina hata raha! sa ntanuanuaje mahindi ya kuchemsha, viazi vya kuchemsha na mayai ya kuchemsha?
Weee nae ushaambiwa boeing vyote vpo umo umo ushawahi kuona boeing inafunguka dirisha
 
Angalia vizuri hiyo resarch yako isiyokuwa na uhakika,Shabiby anazo hizo bus tokea mwaka jana kama sikosei na za kwake zina choo ndani,sijui kama huyo Tahmeed anasogea hapo!
Niliposoma muundo wa ndege nilielewa ni muundo kwa nje na nikawa najihoji itakuweje kupishana barabarani.Kumbe kwa nje wala haina shape utadhani leyland za zamani.Huo ni mpangilio wa viti tu tena kwa kuminya nafasi maana upana wa body ni ule ule na body builder yeyote hata Manji anakutengenezea.Tishio ni zenye hadi vyoo ndani.Hapa umetangaza biashara kijanja tu na mmiliki wa mtandao anatakiwa alipwe hela ya tangazo hili.
 
Wewe kweli bado mshamba... umepanda shabiby au kimbinyiko, mbona wameshatoa mabasi hayo ya siti 33..
 
sibahatishi nisemacho, hata ratco zilikuwepo. ila hakuna za kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuna zaidi ya Tahmeed. pia nikukumbushe hatupo hapa kubishana
Kimbinyiko anazo za 2 by 1 .... inaingia abiria 33 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…