Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika au unaleta story za vijiweni?Utakua hufahamu historia ya Tanga na Mombasa, wenye mabasi hayo ni wakazi/wenyeji wa Tanga walienda Mombasa kufuata biashara baada ya biashara na viwanda kuanguka/kufungwa Tanga miaka ya 1980, bado familia zao zipo Tanga na ndio maana baadhi ya mabasi yao yana plate number za Kenya na mengine za Tanzania, kifupi kuna mwingiliano mkubwa kati ya watu wa Tanga na Mombasa
Na shabiby pia tangu mwakajanaMbona Kimbinyiko anazo hizo basi tangu mwaka jana?
Shabiby na kimbinyiko anayo haya mabasi tangu mwaka jana mkuu....hakuna jipya apooMama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani kwa kuleta mabus mapya aina ya zhongtong ambayo ndani yana muonekano kama ndege za boeing ,kwani hadi sasa ndio mabus pekee yenye siti za 2 by 1 mwanzo hadi mwisho wa bus. niliwahi kuwaahidi miezi minne nyuma kuwa watanzania wajiandae kwa ugeni huu mzito.
View attachment 465297 View attachment 465298 View attachment 465299
Tahmeed coach
your comfort
is our concern
Cicero wewe unapaswa kupuuzwa, mara zote huna la kuongea wala hujawahi kuongea point wala huna unachojua.Una uhakika au unaleta story za vijiweni?
Tahmeed ni ya wakenya ilianza huko na website yao proves kwamba ni kampuni ya Kenya.
Domestic routes za Tanzania wanaruhusiwa kuoperate ili iweje?
Amka ndugu!
Naomba tu niulisage tu maswaali mawili tu:-Mama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani kwa kuleta mabus mapya aina ya zhongtong ambayo ndani yana muonekano kama ndege za boeing ,kwani hadi sasa ndio mabus pekee yenye siti za 2 by 1 mwanzo hadi mwisho wa bus. niliwahi kuwaahidi miezi minne nyuma kuwa watanzania wajiandae kwa ugeni huu mzito.
View attachment 465297 View attachment 465298 View attachment 465299
Tahmeed coach
your comfort
is our concern
Wayalete na loute ya mwanzaNaomba tu niulisage tu maswaali mawili tu:-
- Naa sisi wasukuma mtaturuhusu kuyapanda
- Tutaweza kupandapo na viatu
Aaahh aisee nilivockia kama boeing nikazan zinamabawa bhana fasta nikadownload picha dooh yan wabongo bhana kwa kujua kupamba vtu wakonjema sasa nini cha ajabu hapoMama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani kwa kuleta mabus mapya aina ya zhongtong ambayo ndani yana muonekano kama ndege za boeing ,kwani hadi sasa ndio mabus pekee yenye siti za 2 by 1 mwanzo hadi mwisho wa bus. niliwahi kuwaahidi miezi minne nyuma kuwa watanzania wajiandae kwa ugeni huu mzito.
View attachment 465297 View attachment 465298 View attachment 465299
Tahmeed coach
your comfort
is our concern
Aaahh aisee nilivockia kama boeing nikazan zinamabawa bhana fasta nikadownload picha doohyan wabingi bhana kwa kujua kupamba vtu wakonjema sasa nini cha ajabu hapoMama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani kwa kuleta mabus mapya aina ya zhongtong ambayo ndani yana muonekano kama ndege za boeing ,kwani hadi sasa ndio mabus pekee yenye siti za 2 by 1 mwanzo hadi mwisho wa bus. niliwahi kuwaahidi miezi minne nyuma kuwa watanzania wajiandae kwa ugeni huu mzito.
View attachment 465297 View attachment 465298 View attachment 465299
Tahmeed coach
your comfort
is our concern
Weee nae ushaambiwa boeing vyote vpo umo umo ushawahi kuona boeing inafunguka dirishahizo siti za katikati hazina hata raha! sa ntanuanuaje mahindi ya kuchemsha, viazi vya kuchemsha na mayai ya kuchemsha?
[HASHTAG]#KenyansMustGo[/HASHTAG]Cicero wewe unapaswa kupuuzwa, mara zote huna la kuongea wala hujawahi kuongea point wala huna unachojua.
Niliposoma muundo wa ndege nilielewa ni muundo kwa nje na nikawa najihoji itakuweje kupishana barabarani.Kumbe kwa nje wala haina shape utadhani leyland za zamani.Huo ni mpangilio wa viti tu tena kwa kuminya nafasi maana upana wa body ni ule ule na body builder yeyote hata Manji anakutengenezea.Tishio ni zenye hadi vyoo ndani.Hapa umetangaza biashara kijanja tu na mmiliki wa mtandao anatakiwa alipwe hela ya tangazo hili.Angalia vizuri hiyo resarch yako isiyokuwa na uhakika,Shabiby anazo hizo bus tokea mwaka jana kama sikosei na za kwake zina choo ndani,sijui kama huyo Tahmeed anasogea hapo!
Wewe kweli bado mshamba... umepanda shabiby au kimbinyiko, mbona wameshatoa mabasi hayo ya siti 33..Mama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani kwa kuleta mabus mapya aina ya zhongtong ambayo ndani yana muonekano kama ndege za boeing ,kwani hadi sasa ndio mabus pekee yenye siti za 2 by 1 mwanzo hadi mwisho wa bus. niliwahi kuwaahidi miezi minne nyuma kuwa watanzania wajiandae kwa ugeni huu mzito.
View attachment 465297 View attachment 465298 View attachment 465299
Tahmeed coach
your comfort
is our concern
Mwaka juzi.. si mwaka jana.Mbona Kimbinyiko anazo hizo basi tangu mwaka jana?
Kimbinyiko anazo za 2 by 1 .... inaingia abiria 33 tu.sibahatishi nisemacho, hata ratco zilikuwepo. ila hakuna za kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuna zaidi ya Tahmeed. pia nikukumbushe hatupo hapa kubishana