Sisi tulizoea siti mbanano tukivizia watoto wazuri tuanze kutongoza hizo basi hazitufai, sio user friendly kwa kweli
Umekosea kujibu "Hornet", ungesema ni wewe kwenye hiyo "Avatar" yako ungepewa kazi fasta.Ni jirani yetu hapo Nairobi.
We umeingiza mangapi?Wakati bavicha wakihubiri ugumu wa maisha, wanaume wa kazi wanaingiza mabasi mapya
Nadhani hujaelewa nilichoandika rudia kusoma tena, Mombasa wapo wa TZ wengi sana wanaishi wamefungua makampuni pale, ngoja nikuulize ile kampuni ya bia (Tanzania Breweries ltd) ile website yao inasomaje? Ile ni kampuni ya Tz au SA? Nilichokueleza ni kwamba wale walitoka Tanga na kuweka makazi Kenya. Wamefungua kampuni nchini Kenya, kwa hiyo ulitaka wafungue kampuni Kenya halafu anuani iwe ya Tanga, na sio hao tu zipoUna uhakika au unaleta story za vijiweni?
Tahmeed ni ya wakenya ilianza huko na website yao proves kwamba ni kampuni ya Kenya.
Domestic routes za Tanzania wanaruhusiwa kuoperate ili iweje?
Amka ndugu!
Tahmeed ni kampuni ya mtanzania mkuuTahmeed is a Kenyan company sielewi kwa nini wanapewa ruhusa kuserve domestic routes. Serikali amkeni!
Evidence? Nilikuwa nayatumia Kenya long before yaingie hapa Tanzania. Plus makao makuu yao yako Kenya.Tahmeed ni kampuni ya mtanzania mkuu
nenda tanga utamkuta huko ndio makazi yakeEvidence? Nilikuwa nayatumia Kenya long before yaingie hapa Tanzania. Plus makao makuu yao yako Kenya.
Sina hakika kama hy ni Two by One ndugu yangu.
Lakini pamoja na hayo Two by One, Kimbinyiko ya Dodoma Dar wanayo.