Kampuni ya Tahmeed yaleta mabasi mfano wa ndege

Kampuni ya Tahmeed yaleta mabasi mfano wa ndege

Daah inakimbizana na Bombadier

Nb:ya canada lkn sitaki uchochezi
 
Sisi tulizoea siti mbanano tukivizia watoto wazuri tuanze kutongoza hizo basi hazitufai, sio user friendly kwa kweli

Ha ha ha hanishawadaka sana kwa style hiyo kiongoz ila da kwel wamekomoa
 
Zindueni na Safari za Dar-Mwanza, Dar -Kagera, Dar-Musoma, Dar-Kigoma n.k
 
Una uhakika au unaleta story za vijiweni?
Tahmeed ni ya wakenya ilianza huko na website yao proves kwamba ni kampuni ya Kenya.
Domestic routes za Tanzania wanaruhusiwa kuoperate ili iweje?
Amka ndugu!
Nadhani hujaelewa nilichoandika rudia kusoma tena, Mombasa wapo wa TZ wengi sana wanaishi wamefungua makampuni pale, ngoja nikuulize ile kampuni ya bia (Tanzania Breweries ltd) ile website yao inasomaje? Ile ni kampuni ya Tz au SA? Nilichokueleza ni kwamba wale walitoka Tanga na kuweka makazi Kenya. Wamefungua kampuni nchini Kenya, kwa hiyo ulitaka wafungue kampuni Kenya halafu anuani iwe ya Tanga, na sio hao tu zipo
kampuni /biashara nyingi wamefungua waTZ hapo mombasa hata wewe kama una mtaji nenda huko fungua biashara sasa sijui ukishafungua utaweka website/anuani ya Dar au Mombasa, mimi ninaekueleza nina ndugu zangu wanne wanaishi Mombasa na nyumbani ni gereza mnyuzi muheza , nilichokueleza kuna muingiliano mkubwa sana kati ya watu wa Mombasa na Tanga, ukifika mombasa ndio waweza lijua hili,
 
Watanzania sijui nani aliwaloga hivi hakuna hata cha kusema ni kizuri kimefanywa na mwenzetu, haya jiulize wewe umefanya nini mbali na kushinda huku unakosoa/kutukana, kumbuka ukimuonuesha kidole kimoja mwenzio vile vidole vingine unavikunja na vinakuuliza na wewe je?, niseme tujitambue.
 
Ila wanahitaji kuelimishwa kidogo, wao wanadhani hakuna waTZ wanaoweza kuwekeza nje ya nchi, lakini nilitaka afahamu uhusiano wa Tanga na Mombasa ni wa kihistoria na muingiliano wa watu ni mkubwa kuliko watu wanavyodhani, ni sawa na wakati naishi Mbeya niligundua pia wakazi wa Mbeya wengi wana muingiliano na watu wa Zambia na kulikua na vijana wengi walisoma zambia sababu wana ndugu kule, watu wanaoishi mipakani ni ngumu kuwatenganisha kwa mipaka iliyowekwa na wazungu
 
Hizo tv naangalia movie ninayoitaka au ndio yale yale ya kulazimishwa kuangalia "KIFO HARAMU" steering (spelling kutoka AU assembly)
JIMMY MASTER!!!!!
 
hapo naona kama umechanganya madesa hizo gari za tahmeed sio za kwanza kuwa na siti za 1x2 kwa basi nzima mtu wa kwanza kuleta gari ya 1x2 basi zima ni Kimbinyiko alipoleta Yutong F12 kisha akafata Shabiby wengine wakawa wanaleta 1x2 row nne za mbele nyingine 2x2 na wengine wanaweka vyumba kama Tahmeed yutong f12,Tabora moja express,Ratco,Buti la zungu na nk.Alafu hizo zhongtong za Tahmeed zipo tatu kinachozibeba sana ni hizo tablet zilizopo kwenye kila siti,Usb ports,Ac na tv lakini kwa sumatra zitapewa daraja la kati kwa sababu hazina choo na hizo gari route yake ni Nairobi_Namanga_Arusha_Moshi_Dar
 
Sina hakika kama hy ni Two by One ndugu yangu.
Lakini pamoja na hayo Two by One, Kimbinyiko ya Dodoma Dar wanayo.
 
Sina hakika kama hy ni Two by One ndugu yangu.
Lakini pamoja na hayo Two by One, Kimbinyiko ya Dodoma Dar wanayo.
8497e6843076231c72f44c07ae77e583.jpg
 
Hakuna jipya hapo shabiby za kwenda dodoma, bado ni bora kabisa, na choo safi na seat za kisasa kabisa, anyway seat ni bora.kuliko za ile ndege
 
Back
Top Bottom