Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited yazindua Konyagi aina ya Konyagi Fusion

Tulozoea kula bapa la 43 alcohol
 
Naona waneamua kutengeneza juice na sio pombe, hiyo watakunywa wenyewe ndio maana k vant anawaacha kila siku kwa ujinga wao
 
Kaonjeni mlete majibu.
 
Konyagi inakata mafuta..., Hawa kweli ni watumiaji wazuri wa hiki kinywaji chao ?
 
Kwaiyo wameleta hizo flavours ili tuchanganyie faru joni sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…