Kampuni ya TECNO Leo imetangaza kuwa itazindua Robot yake.
Kaa tayari kwa uzinduzi wa TECNO Robot! Siku ya Leo!
TECNO itazindua kwa mara ya kwanza mbwa wake wa kwanza wa roboti iliyoboreshwa kwa AI, TECNO Dynamic 1, kwenye MWC Barcelona 2024. Roboti hiyo ya kisasa inajumuisha slogan ya TECNO ya “Stop At Nothing”