BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
Kampuni ya Tigo ina mkakati wa kuleta ATM ambapo mteja atatoa pesa direct kutoka kwenye mashine hizo. Naamini pia makato ya kwenye ATM zao yatakuwa madogo kuliko ya kwa wakala wa kawaida. Yani wanachotaka ni kukata connection ya "middle man" (wakala), ambapo mapato yataenda kwao moja kwa moja na si kugawana kama ilivyo sasa. Wale mawakala wa Tigo Pesa na mitandao mingine (maana najua watafuata na wao) liangalieni hili kwa jicho la pili.
Ni hayo tu
Ni hayo tu