Kampuni ya Tigo ina mkakati wa kuleta ATM ambapo mteja atatoa pesa moja kwa moja

Kampuni ya Tigo ina mkakati wa kuleta ATM ambapo mteja atatoa pesa moja kwa moja

Kudposit faida n ndogo kuliko kutoa
Hujaona kama panga linakata kote kote ? Sababu hawa watu sio lazima wafanye hiyo biashara ujue ? That means tigo inabd waje na mfumo ulio kamilika.. Lakn pia ..ukiangalia wingi wa vibanda..there is no way tigo wataweza weka machine nyingi kias hicho..labda baadhi ya maeneo tu.kwenye maduka makubwa..super market..malls..na vinavyo fanania na hivyo..tofaut na hapo..wakiwanyima wale wa vibandan namna ya kula, watafute na namna ya ku deposit vile vile..tofaut na hapo wanajinyonga wenyewe
 
Bado itakua ni useless tu.

Mobile money maana yake inakusaidia kutoa pesa popote pale kwa urahisi,sasa nani ana mpango wa kwenda kutoa pesa kwny ATM za Umoja?

Kutakua hakuna utofauti na kupata huduma za kibenk kwny atm's(nani ana muda wa kupanga foleni kwny hizo ATM's)?

Wana uwezo wa kuweka hizo ATM za Umoja ngapi kwny kila mtaa?
Mkuu Atm ipi unazosema Zina foleni?, unafahamu Hao mawakala una watetea ukifika saa Moja tu usiku hawatoi huduma wakati Atm ni 24/7?

Kutoa 400,000 kwa wakala ni karibu 6500 shilingi wakati Atm ni wastani wa shilingi 1500, na kuna wakati wakala anaweza asiwe na kiwango cah pesa unachotaka bado tu utaenda kwa wakala?

Unless Tigo waje na tamaa za gharama juu ila ni move nzuri kuelekea kwenye huduma bora na nafuu, wasi wasi wangu mkuu ni kuwa mawakala watakosa kazi, baadhi ya sehemu
 
Mawakala Bado ni muhimu maana wametapakaa kila mtaa, Sasa hizo ATM za umoja switch zitatapakaa kiasi gani? Yaan mtu aende kutafuta umoja switch wakati akitoka tu ndani barazani yupo wakala.
 
Kampuni ya Tigo ina mkakati wa kuleta ATM ambapo mteja atatoa pesa direct kutoka kwenye mashine hizo. Naamini pia makato ya kwenye ATM zao yatakuwa madogo kuliko ya kwa wakala wa kawaida. Yani wanachotaka ni kukata connection ya "middle man" (wakala), ambapo mapato yataenda kwao moja kwa moja na si kugawana kama ilivyo sasa. Wale mawakala wa Tigo Pesa na mitandao mingine (maana najua watafuata na wao) liangalieni hili kwa jicho la pili.

Ni hayo tuView attachment 1241478
Hizo ATM tayari zipo. Pia siyo kwamba zitakuwa specifically kwa Tigo pesa clients. Kwa maana nyingine hiyo huduma ni imeongezwa kwenye ATM, on top of the services zingine ambazo zipo kwenye hizo ATM za umoja. Hii huduma kwa maana nyingine itawezesha Tigo pesa customer yeyote hata kama ATM card, kutoa fedha kwenye ATM. Huduma hii siyo kwamba ni kwa ajili ya kupunguza wakala.Ni added delivery channel kwa Tigo pesa customers. Mpesa walishaanza Siku nyingi sana.
 
Kijijini kuna umoja switch?mawakala bado sana wanahitajika,labda waseme tu wanapanua wigo wa huduma
 
Mobile unaweza kusema huduma kiganjani au huduma kwa ukaribu zaidi na upatikanaji rahisi
ATM zisipokua nyingi unadhani wateja watahudumiwaje?Wataanza kupanga foleni kama kule ATM za NMB sio?

By the way naomba unisaidie maana ya neno MOBILE.
 
Mkuu Atm ipi unazosema Zina foleni?, unafahamu Hao mawakala una watetea ukifika saa Moja tu usiku hawatoi huduma wakati Atm ni 24/7?

Kutoa 400,000 kwa wakala ni karibu 6500 shilingi wakati Atm ni wastani wa shilingi 1500, na kuna wakati wakala anaweza asiwe na kiwango cah pesa unachotaka bado tu utaenda kwa wakala?

Unless Tigo waje na tamaa za gharama juu ila ni move nzuri kuelekea kwenye huduma bora na nafuu, wasi wasi wangu mkuu ni kuwa mawakala watakosa kazi, baadhi ya sehemu
Hakuna asiye penda technologia katika kurahisisha maisha lakini kuna mambo ambayo huwa ni magumu sana kutekelezeka hata kama technologia inaweza kufanya. Hizo ATM machines labda ziwe tu kama sehemu ya kuasidia (alternative mechanism) mteja pale ambapo wakala yupo mbali au hana kiasi ambacho mteja anahitaji kutoa au kuweka. Lakini kusema kwamba ATM zitawa-replace mawakala ni kitu ambacho hakitekelezeki kirahisi na wakiforce kuondoa mawakala biashara itawadodea. Hivi huko vijijini watapeleka pia hizo ATM? achilia mbali mijini ambako pia hawaezi kucover maeneo mengi kama vile mawakala walivyocover kila kona ya eneo au mtaa.
Na hata kama wakiwaondoa mawakala basi hela itakayowatoka kuweka hizo ATM ili wateja wao waridhike na hiyo huduma nchini kote ni mara 100000 na zaidi ya hiyo wanayowapa mawaka kila mwezi.

NASEMA ATM ZIBAKI TU KUWA ALTERNATIVE PALE AMBAPO WAKALA HAWAPO, HAWANA KIASI CHA PESA AU SABABU NYINGINE TU.

THINK BIG!
 
Back
Top Bottom