Kampuni ya Tigo ina mkakati wa kuleta ATM ambapo mteja atatoa pesa moja kwa moja

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Kampuni ya Tigo ina mkakati wa kuleta ATM ambapo mteja atatoa pesa direct kutoka kwenye mashine hizo. Naamini pia makato ya kwenye ATM zao yatakuwa madogo kuliko ya kwa wakala wa kawaida. Yani wanachotaka ni kukata connection ya "middle man" (wakala), ambapo mapato yataenda kwao moja kwa moja na si kugawana kama ilivyo sasa. Wale mawakala wa Tigo Pesa na mitandao mingine (maana najua watafuata na wao) liangalieni hili kwa jicho la pili.

Ni hayo tu
 
Bado itakua ni useless tu.

Mobile money maana yake inakusaidia kutoa pesa popote pale kwa urahisi,sasa nani ana mpango wa kwenda kutoa pesa kwny ATM za Umoja?

Kutakua hakuna utofauti na kupata huduma za kibenk kwny atm's(nani ana muda wa kupanga foleni kwny hizo ATM's)?

Wana uwezo wa kuweka hizo ATM za Umoja ngapi kwny kila mtaa?
 
Tatzo ni kuwa wengi wataangalia unafuu wa gharama...!watanzania wengi ndo tnachoangalia...!!ATM ikikata 1500 wkt kwa wkala n elf 3....wadhn wabongo ttaenda wapi??
 
Kama watatumia ATM za umoja switch tegemea gharama za kutoa kuwa kubwa kuliko hata kwa mawakala ila hili ni wazo zuri
 
Mawakala watabaki kuwa Juu tena Juu zaidi

Jaribu kutoa pesa kwenye ATM network ikatikie njiani hela yako iende

uone nani atakusaidia kuipata hiyo hela yako

Customer care 100 ukipga utakutana na maelezo ya kujiunga na vifurushi tu

in short hamna jipya hapo wataenda wachache sana ATM tena mida ambayo hamna wakala

benki tupu wameshndwa weka ATM kila mahali sembuse hao tigo na ATM za ku share!
 
Hizo ATMs sio za tiGO, wanaingia ushirikiano na ATMs za Umoja Switch za Banks.
Hii itasaidia tu kwa vile ATMs zinafanya kazi 24hrs tofauti na mawakala.
Swali ni je, hizo ATMs zipo ngapi mtaani kwetu?
 
Ndugu hata kama zikiwa 3...jua kuna pesa mawakala wa3 wanazikosa...!!nnachosemea n kuwa yawezkana zicwe nyingi...lkn inAbana upataji pesa wa mawakala wa kawaida...!!
Hizo ATMs sio za tiGO, wanaingia ushirikiano na ATMs za Umoja Switch za Banks.
Hii itasaidia tu kwa vile ATMs zinafanya kazi 24hrs tofauti na mawakala.
Swali ni je, hizo ATMs zipo ngapi mtaani kwetu?
 
ATM zisipokua nyingi unadhani wateja watahudumiwaje?Wataanza kupanga foleni kama kule ATM za NMB sio?

By the way naomba unisaidie maana ya neno MOBILE.

Ndugu hata kama zikiwa 3...jua kuna pesa mawakala wa3 wanazikosa...!!nnachosemea n kuwa yawezkana zicwe nyingi...lkn inAbana upataji pesa wa mawakala wa kawaida...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…