Mwarabu wa kayenze
Member
- Jun 4, 2015
- 68
- 48
Kuna baadhi ya masaa huwezi pata huduma nzuri za kifedha za Mix by Yas hasa jioni na alfajiri.Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya kimatibabu! Nawapigia customer care wananiambia wanashughulikia ndani ya masaa 72 muamala utamfikia mlengwa; nimewaambia waurudishe kwangu ili mimi niitoe nimtumie kupitia airtel money wananiambia nisubiri hela itamfikia baada ya masaa 72. Kwenye huduma za kifedha yas mmefeli.
Tatizo nikuwa hao customers care hawana acces na hiyo pesa yako. Inakuwa kwenye mfumo na hakuna wanachoweza kufanya zaidi yakuangalia processing ama pending au cancelledHabr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya kimatibabu! Nawapigia customer care wananiambia wanashughulikia ndani ya masaa 72 muamala utamfikia mlengwa; nimewaambia waurudishe kwangu ili mimi niitoe nimtumie kupitia airtel money wananiambia nisubiri hela itamfikia baada ya masaa 72. Kwenye huduma za kifedha yas mmefeli.
Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya kimatibabu! Nawapigia customer care wananiambia wanashughulikia ndani ya masaa 72 muamala utamfikia mlengwa; nimewaambia waurudishe kwangu ili mimi niitoe nimtumie kupitia airtel money wananiambia nisubiri hela itamfikia baada ya masaa 72. Kwenye huduma za kifedha yas mmefeli.
Mbona mimi sijawahi kuambiwa kubadilisha password!!!Na mtindo wao wa kubadilisha password 🔑 siupendi kweli, kila mara sms badilisha nywila
Hata mimi pia.Mbona mimi sijawahi kuambiwa kubadilisha password!!!
Niliwahi kulipia king'amuzi cha azam kupitia huu mtandao pesa haikuwafikia azam hawakiwashi, nikapiga customer care wakaniambia kwa tatizo hilo tupigie baadae, nilisema hivi ndo huduma gani hiyo mi nina tatizo we unaniambia nipige baadae tena baadae yenyewe haijulikani ni ipi. Nikawapigia tena baada ya saa 5 hivi jibu likawa hilo hilo. Pesa walirudisha baada ya siku 2Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya kimatibabu! Nawapigia customer care wananiambia wanashughulikia ndani ya masaa 72 muamala utamfikia mlengwa; nimewaambia waurudishe kwangu ili mimi niitoe nimtumie kupitia airtel money wananiambia nisubiri hela itamfikia baada ya masaa 72. Kwenye huduma za kifedha yas mmefeli.