Kampuni ya tigopesa mna matatizo gani

Kampuni ya tigopesa mna matatizo gani

Tigo inaenda kupotea.Huduma zao ni mbovu kupitiliza.Uku niliko mtandao ni shida tupu.unatuma meseji kwako inatoka alafu inapotelea hewani.Unatuma pesa meseji hairudi nakule ulipotuma mesej hapat.utakaa ata wiki hadi ufwatilie napo unakutana na majibu yakuunga unga..yaan full majanga.
 
Back
Top Bottom