Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
TOGWANdio kampuni inayotengeneza hizo juisi!?
UlanziTOGWA
HahahahahaaNA YULE MWINGINE KAINGIA MKATABA NA FIESTA
HAHAHHAAAAA DAAAHH
ChibukuUlanzi
wakikujibu fans wake unipe mrejesho kwa kunitag plsNaomba kujua dau i mean malipo kama hamtojali
Ukinunua hiyo upigie picha utuonyeshe, sio Bei ya Balimi hiii.Ni pombe? Mmenikumbusha ngoja niende Bar nikawachangie.
Naomba kujua dau i mean malipo kama hamtojali
VERY SIMPLE,KWAN UMESAHAU HYO KAMPUNI NI TIGO FIESTA,KWA HYO WAMEMSAIN MOND KWA DAU LA TIGO FIESTA.wakikujibu fans wake unipe mrejesho kwa kunitag pls
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]VERY SIMPLE,KWAN UMESAHAU HYO KAMPUNI NI TIGO FIESTA,KWA HYO WAMEMSAIN MOND KWA DAU LA TIGO FIESTA.
Hahahaaaa,eti MTU anauliza mkataba kiasi gani wakati VODA TU WALIINGIA MKATABA WA ZAID YA BILLION
sasa unataka kujua kampuni ilowasaini mpaka kina Rock Ross na DJ khaled,inatoka BEI ganiiiii????????
Mnafikiri Tigo fiesta HYO
Au mnafikiri mondi ni wa vijimikataba mbuzi vya buku jero hukooo
Ukinunua hiyo upigie picha utuonyeshe, sio Bei ya Balimi hiii.
Wabongo siwawezi ana mikataba mingi sema hapend show offNA YULE MWINGINE KAINGIA MKATABA NA FIESTA
HAHAHHAAAAA DAAAHH