Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
-From Millardayo:RASMI.
Mwimbaji wa Tanzania Diamond Platnumz ametangazwa rasmi na Brand maarufu ya WINE UFARANSA kuwa Balozi wake na kuingia kwenye orodha ya mastaa 200 duniani wanaonadi bidhaa za kampuni zao.
-
Taarifa na @officialbelaire imesema kampuni hiyo imevutiwa na nguvu ya kazi aliyonayo Diamond na inatambua yeye ni miongoni mwa wasanii wakubwa Africa, Pia inatambua ushindi wa tuzo zake zilizo tokana na juhudi zake na inaamini ukubwa alionao utatumika kufikisha ujumbe wao kwa mamilioni ya watu.
@MillardAyoUpdates.