Kampuni ya Ufaransa LUC BELAIRE imemtangaza Diamond kuwa Balozi,ameingia 200 bora za mastaa waliopewa ubalozi Duniani.

Kampuni ya Ufaransa LUC BELAIRE imemtangaza Diamond kuwa Balozi,ameingia 200 bora za mastaa waliopewa ubalozi Duniani.

Wabongo siwawezi ana mikataba mingi sema hapend show off
Hahahahaa,na HIZO ndo CHAKA zake anazokimbiliaga

Ooohh mi si MTU wa show off !!!

3weeks ago alikua anapewa vichwa na kila sehemu unaenda na misifa huuu

Ooohh umevunja record,sijui nn

Wakati ALIKUA ni record feki,sasa akawa kila siku kwenda kwenye matedio
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Diamond ni level nyingine, sio kwa Tanzania bali hata Africa.
 
Na Hamisa Mabetto anakuwa balozi wa nini wajameni!
 
Back
Top Bottom