Kampuni ya ulinzi ya Risk Insight iliyopo Masaki acheni kutunyanyasa wafanyakazi wenu (Walinzi)

Garnacho

Member
Joined
Jan 11, 2023
Posts
13
Reaction score
13
Wadau, leo ni tarehe 7/01/2025. Mpk sasa baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hii hatujalipwa mishahara ya mwezi wa December mwaka jana, cha ajabu malipo kwa wafanyakazi yamekuwa yakifanyika kwa mafungu mafungu bila taarifa yoyote kutolewa ili kuwajulisha wafanyakazi nini kinachoendelea ndani ya kampuni.

Wito wangu kwa serikali, NAOMBA KAMPUNI HII ICHUNGUZWE ili kama imeshindwa kujiendesha hatua stahiki zichukuliwe ili kulinda maslahi ya wafanyakazi wake, maana huu ni mwezi wa nne mishahara imekuwa ikisua sua na sasa imekuwa too much.

Mwisho, nitoe tahadhari kwa wateja wanaohudumiwa na walinzi wa kampuni hii kuwa makini sana, kwani hali hii hupelekea walinzi kupata vishawishi na hatimae kujiingiza katika vitendo vya kuwaibia wateja wao kwa kushirikiana na watu wa nje!

NAWASILISHA
 
Kuna jamaa mmoja yupo hapo anaitwa Isaac msenge sana huyo
 
Back
Top Bottom