Kampuni ya Umbro imedhamini Ndondo Cup 2021

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
22,976
Reaction score
22,564
Kampuni ya vifaa vya michezo ya Umbro Afrika Kusini imeingia ushirikiano na Clouds Media Group na Shadaka Sports Management wa kuidhamini michuano ya Ndondo Cup 2021 kwa kutoa jezi kwa timu zote shiriki 32, mipira ya mashindano na vifaa vya waamuzi.



Umbro ni kampuni ya vifaa vya michezo yenye makao makuu yake England na inazivalisha timu kama Al Ahly ya Misri, Zanaco ya Zambia, West Ham ya England na Timu za Taifa za Uganda na Ethiopia .
 
Ndondo inachanja mbuga taa nyekundu kwa tff,ndondo cup kukaribia ama kuwa bora kwenye udhamini na mambo mengine kuizidi hata tff.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…