Kampuni ya umeme Kenya inadai HALMASHAURI WAKAKATA UMEME
Nao WANADAIWA KODI na HALMASHAURI mashallah wakamwaga UCHAFU MLANGONI
Hii n ubaya ubwelaa
Your browser is not able to display this video.
=====
Halmashauri ya Jiji la Nairobi yaziba njia ya maji taka katika ofisi za Kenya Power & Lighting (KPLC) katikati ya jiji la Nairobi, hali iliyopelekea kumwagika na kutiririka kwa majitaka ghafi huku mvutano kati ya KPLC na City Hall ukiendelea.
Mapema leo, Mamlaka ya Kitaifa ya Usimamizi wa Mazingira (NEMA) iliagiza City Hall kuondoa taka zote zilizoachwa katika Stima Plaza siku ya Jumatatu, ikieleza kuwa kitendo hicho ni cha kizembe na kinaweza kuhatarisha mazingira.
KPLC inailaumu serikali ya Kaunti ya Nairobi kwa kushindwa kulipa deni lake la umeme linalofikia KSh bilioni 3, huku kaunti nayo ikidai KPLC ina deni la KSh bilioni 4.8 kutokana na ada za njia za umeme (wayleave fees), hali inayosababisha mvutano mkali.
Umeme ukiwa hakuna mnawasimanga sana SHIRIKA LA UMEME ILA WADAIWA SUGU WA SHIRIKA HAMUWASEMI.AU MNATHANI SHIRIKA LINAENDESHWA KWA RUZUKU TOKA MBINGUNI.
📌DAWA YA DENI NI KULIPA!!!!USICHOKIPENDA KUFANYIWA USIFANYIE WENGINE!!!
Umeme ukiwa hakuna mnawasimanga sana SHIRIKA LA UMEME ILA WADAIWA SUGU WA SHIRIKA HAMUWASEMI.AU MNATHANI SHIRIKA LINAENDESHWA KWA RUZUKU TOKA MBINGUNI.
📌DAWA YA DENI NI KULIPA!!!!USICHOKIPENDA KUFANYIWA USIFANYIE WENGINE!!!
Tuache na taasisi zetu kwani zimetajwa wapi kwenye hii thread kwani wangewekeana makubaliano ya kulipana kwa awamu kiustarabu na kwa staha kingeharibika au ni kukosa tu maarifa ,uongozi ni jalala na pia ni jaala ya maulaana sio kudandia tu .