Na HEKIMA wale watu hawana HEKIMA kabisaTuache na taasisi zetu kwani zimetajwa wapi kwenye hii thread kwani wangewekeana makubaliano ya kulipana kwa awamu kiustarabu na kwa staha kingeharibika au ni kukosa tu maarifa ,uongozi ni jalala na pia ni jaala ya maulaana sio kudandia tu .
Yaani wakenya hawana akili timamu!Hiyo Nchi ni ya hovyo sana .
Nchi y hovyo kama hiyo ndio role model wa machadomo ππ
Kipaumbele chao kilikuwa katiba mpya.Inafanya kazi vizuri.Just imagine ingetokea Tanzania wavimba macho wangekuwa na a field day.Yaani wakenya hawana akili timamu!
Yaani wewe unaona kweli Katiba Mpya inafanya kazi vizuri kwa ujinga huo!!?Kipaumbele chao kilikuwa katiba mpya.Inafanya kazi vizuri.Just imagine ingetokea Tanzania wavimba macho wangekuwa na a field day.
Kwani mwisho wa matatizo ya Nchi yeyote sio katiba mpya?Au nimeelewa vibaya.Wavimba macho si walikuwa wanawasifia sana Kenya kwamba wana katiba mpya?Hivyo matatizo yote yatakwisha?Yaani wewe unaona kweli Katiba Mpya inafanya kazi vizuri kwa ujinga huo!!?
Hebu onyesha mahusiano ya Katiba Mpya na hicho kilichotokea. Kwenye Katiba ya Kenya kumeandikwa kuwa taasisi ikidaiwa fedha isilipe bali imwage uchafu kwa wadai wake!?Kwani mwisho wa matatizo ya Nchi yeyote sio katiba mpya?Au nimeelewa vibaya.Wavimba macho si walikuwa wanawasifia sana Kenya kwamba wana katiba mpya?Hivyo matatizo yote yatakwisha?
Yaani watu wa CCM uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. Katiba Mpya na kwisha Kwa matatizo kunahusianaje?Kwani mwisho wa matatizo ya Nchi yeyote sio katiba mpya?Au nimeelewa vibaya.Wavimba macho si walikuwa wanawasifia sana Kenya kwamba wana katiba mpya?Hivyo matatizo yote yatakwisha?
Wakenya,wanatakiwa wake huku kwetu watupe mafunzo na ujasiri.Hii inaitwa ubaya ubwela
Mwosha. Huoshwa
Yaani
Kampuni ya umeme Kenya inadai HALMASHAURI WAKAKATA UMEME
Nao WANADAIWA KODI na HALMASHAURI mashallah wakamwaga UCHAFU MLANGONI
Hii n ubaya ubwelaa
=====
Halmashauri ya Jiji la Nairobi yaziba njia ya maji taka katika ofisi za Kenya Power & Lighting (KPLC) katikati ya jiji la Nairobi, hali iliyopelekea kumwagika na kutiririka kwa majitaka ghafi huku mvutano kati ya KPLC na City Hall ukiendelea.
Mapema leo, Mamlaka ya Kitaifa ya Usimamizi wa Mazingira (NEMA) iliagiza City Hall kuondoa taka zote zilizoachwa katika Stima Plaza siku ya Jumatatu, ikieleza kuwa kitendo hicho ni cha kizembe na kinaweza kuhatarisha mazingira.
KPLC inailaumu serikali ya Kaunti ya Nairobi kwa kushindwa kulipa deni lake la umeme linalofikia KSh bilioni 3, huku kaunti nayo ikidai KPLC ina deni la KSh bilioni 4.8 kutokana na ada za njia za umeme (wayleave fees), hali inayosababisha mvutano mkali.
View attachment 3250063
Source: BuzzroomKenya