OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wasitengeneze jezi nyepesi kama zile za kiba na samata sasa..
Unajua maana ya kushinda Tender?Kwamba VB ni bora sana kuliko kampuni zote??? Walishindanishwa na watoa huduma wengine?, au ndio kiushkajia
Zilikuwepo kampuni 11, VB ndio wameshinda hiyo tender!! 2bill kibondoni kwa simba, hawa vijana nimewapenda kwakweli, tusake pesa tuKwamba VB ni bora sana kuliko kampuni zote??? Walishindanishwa na watoa huduma wengine?, au ndio kiushkajia
Unamaanisha vitu mtumbamtumba au[emoji1].Uyu fred alivyo asituletee vitu famba
Hahahahaaa mimi niliwambia watademka wakanitusiKuna wale waliokuwa wanademka na ngoma ya Papaa Zahera[emoji1].
Jezi za NIKE unadhani watanzania tutanunua , uongozi inabidi uone mbele , uchumi wetu tu tia maji tia maji, utanunua jezi ya laki au unapiga kelele tuNilidhani atatangawa Nike. Kuja kushtuka VB huyu hapa.
Duuh!Zilikuwepo kampuni 11, VB ndio wameshinda hiyo tender!! 2bill kibondoni kwa simba, hawa vijana nimewapenda kwakweli, tusake pesa tu
Purchasing power yetu ni ndogo sana....Jezi za NIKE unadhani watanzania tutanunua , uongozi inabidi uone mbele , uchumi wetu tu tia maji tia maji, utanunua jezi ya laki au unapiga kelele tu
Kwanza Hii Tenda Ya kutengeneza Jezi Za Simba Ilitangazwa Lini? Na Ni Kampuni Zipi Ziliomba Hiyo Tenda?Kwamba VB ni bora sana kuliko kampuni zote??? Walishindanishwa na watoa huduma wengine?, au ndio kiushkajia
Nadhani sasa wamejua kwamba, walikuwa wanademka ngoma alizozikataa Samia[emoji1].Hahahahaaa mimi niliwambia watademka wakanitusi
Fredy Ngajiro Aka Vunja Bei, Kijana Wa Kikinga Huyu, Hawa Wakinga Hela Yao Sio Ya Utani², Hela Ya Ngama [emoji3][emoji3][emoji3]