Kampuni ya Vunja Bei yashinda tenda ya jezi za Simba Sc

Kampuni ya Vunja Bei yashinda tenda ya jezi za Simba Sc

Hiyo B3 ni makadirio ya kawaida, maana Pcs. 100000 unauza kwa mikoa mi 4 tu. Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma. Ongeza Pcs 15000 za mikoa mingine

Ukitoa gharama za uzalishaji hakosi B1 au B1.5 kama faida kumbuka yeye analipa B1 kwa msimu.

Hapo bado kava za simu, kofia, skafu, miwani na makorokoro kama hayo.

Cha mwisho jamaa ana maduka mikoa mingi kwa hiyo ni rahisi kuuz Jezi nyingi zaidi
Kweli. .mkuuu
 
Sasa si ndio maana ya kuwekeza mkuu, ukiwekeza hela haswa kubwa kama hiyo lazima utegemee faida kubwa kubwa pia chini ya hapo hakuna mtu angekubali kuwekeza 2bn halafu aambulie hasara au faida ya maandazi
 
Faida yake itarudije?!
Hesabu ndogo tu

Simba ina fans wangap duniani?

Bei ya jezi moja inaanzia ngap?

Majibu ya hapo juu yazidishe.

Utakachopata ni makadirio ya mapato kwa

Muuzo mmoja kwa mtu mmoja.

Haya anza miuzo kama mia hivi.

Maana mtu hawezi nunua jezi mara moja tu.
 
Kwanza Hii Tenda Ya kutengeneza Jezi Za Simba Ilitangazwa Lini? Na Ni Kampuni Zipi Ziliomba Hiyo Tenda?
Kuhusu Nani na Nani aliomba tenda fatilia press ya leo utawajua waombaji na Kwa nini vunjabei kashinda yeye, umeuliza lini tenda ilitangazwa, tangazo Hilo mkuu au kuna lingine?
IMG_20210420_174824.jpg
 
hongera Fred, enzi za Mwendazake ingekuwa vigumu kujitokeza maana kesho tu TRA wangefika kukagua income, expenditure, balance sheet, owners equity, cashflow na notes to financial statements
Duuuh ni noma sana
 
hongera Fred, enzi za Mwendazake ingekuwa vigumu kujitokeza maana kesho tu TRA wangefika kukagua income, expenditure, balance sheet, owners equity, cashflow na notes to financial statements
Yaani mafanikio yanakuwa kosa la jinai
 
Back
Top Bottom