KERO Kampuni ya Wageni iliyopo Mkuranga - Pwani, haitupi stahiki zetu wafanyakazi wake

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi Wafanyakazi wa moja ya kampuni iliyopo Mkuranga, Mkoa wa Pwani, inayomilikiwa na raia wa kigeni, ambayo inajihusisha na uzalishaji wa tiles na bidhaa nyingine zikiwemo za ndani ya nyumba, tunapitia changamoto mbalimbali zinazohusiana na ajira na stahiki zetu.

Tunaomba hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya waajiri wazawa wanaofahamu Sheria za Ajira nchini, lakini wanashindwa kuzisimamia ipasavyo.

Tumekuwa tukishuhudia baadhi ya wafanyakazi wakifukuzwa kazi bila kosa lolote na raia wa kigeni, huku kitengo cha Rasilimali Watu (HR) kikishindwa kuwajibika ipasavyo.

Mwajiriwa anapofukuzwa, wakati mwingine hapewi hata barua ya kuachishwa kazi, hali inayomfanya ashindwe kufuatilia stahiki zake kwa njia rasmi.

Sisi vijana tumedhulumiwa stahiki zetu nyingi, na tunapojaribu kufuatilia madai yetu, hatupewi majibu wala malipo. Hali hii imetufanya tuishi katika mazingira magumu, huku tukishindwa kupata haki tunazostahili baada ya kufanya kazi.

Tumefikisha malalamiko yetu hadi Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), mbele ya Kiongozi Mkuu, lakini pamoja na hatua hizo, bado tunadai kuwa kampuni haijawalipa wafanyakazi stahiki zao.

Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuhakikisha haki za wafanyakazi zinalindwa kwa mujibu wa sheria.
 
Bila shaka kitakuwa ni kiwanda cha Wachina na hao ndivyo walivyo,kipo kiwanda kingine cha Wachina Dodoma kinaitwa Mainland Group kinazalisha Mafuta ya Alizeti,kimejaa uhuni na unyanyasaji mkubwa kwa watanzania,ni zaidi ya Jehanamu
 
Taja jina la kampuni ..taja mahali kiwanda kilipo ..na malalamiko yenu ni nini kiufupi
 
Wewe ndiyo hujui sasa hapo mkuranga kuna kiwanda kipi zaidi ya hicho cha tiles?kero imeelezewa hapo juu mnataka kero gani ingine aweke mnakera
mimi mkuranga napafahamu, aliyeuliza jina hapafahamu huko,
 
Back
Top Bottom