Kampuni ya YÜTEK ya Uturuki yasaini mikataba ya ujenzi wa meli

MRADI HUU NI WA MAANA MNO HAKIKA RAIS TUMEPATA ANA AKILI KUPITILIZA,MRADI HUU UNAWATEJA WAKE STANDBAY YAANI NI SISI ABIRIA TUNAUSUBIRI TUZIJAZE MELI KWA MIZIGO YA KIBIASHARA,NA NYIE KAJAZENI MADEGE YENU NA MIRADI YA AJABU AJABU YA HASARA,MAMA KIROHO SAFI UZA MADEGE MAWILI UWALIPE WATURUKI WATUHARAKISHIE MELI ZETU.
Michadema hii na fikra mgando nia yao kuharibu legacy ya JPM
 
Mama anafungua nchi
Chief Hangaya
Bi.Tozo

Zile sifa naomba ziendele hapa
Tukisema Hangaya anaungwa mkono na majizi naomba ieleweke hivyo
 
Hivi unadhani hii comment yako ilikuwa si ya kilevi?

..ninazo sababu za kuamini kwamba mradi wa ujenzi wa meli ni mzuri kuliko ununuzi wa ndege.

..tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hakuna ufisadi na upigaji ktk mikataba.

..ndege zinaundwa ktk nchi za mabeberu halafu tunaletewa hapa nchini.

..katika huu mradi meli zitajemgwa hapahapa nchini. Baadhi ya kampuni za Kitanzania.zitashiriki ktk mradi huo. Vijana wetu watapata ajira na ujuzi kupitia mradi huu.
 
15 June 2021
Mwanza, Tanzania

Rais Samia anashuhudia utiaji saini mikataba 5 ya ujenzi na ukarabati wa meli Shilingi Bilioni 417.

Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini mikataba 4 ya ujenzi wa meli mpya na mmoja wa ukarabati wa meli . Mheshimiwa Rais amefarijika kuona kazi inaendelea ya kuifanya Mwanza na ukanda wa ziwa Victoria kuwa kitovu cha uchumi kwa maeneo ya Afrika Mashariki na pia nchi za Maziwa Mkuu za Burundi, Rwanda pamoja na Mashariki ya DR Congo.
  1. Meli ya mizigo uwezo tani 3000 ya kubeba mabehewa (wagon ferry) kukatiza ziwa Victoria
  2. Meli ya abiria uwezo watu 600 na tani 400 ziwa Tanganyika
  3. Meli ya mizigo uwezo tani 2800 ziwa Tanganyika
  4. Meli uwezo tani 2800 ya mizigo katika bahari ya Hindi
  5. Wakati meli ya MV Umoja iliyopo ktk ziwa Victoria ukarabati wake utafanywa na Kampuni toka South Korea.
Shughuli hiyo ilifanyika Leo Mwanza Tanzania ambapo wizara ya Ujenzi kwa niaba ya MSCL Kampuni ya Huduma za Meli Tanzania na Yücel Tekin Shipbuilding Company YÜTEK kampuni toka Uturuki zilisaini mkataba wa thamani ya dola za kimarekani US$180 million sawa na shilingi 417,240,000,000.

Katika hafla hiyo balozi wa Turkey nchini Tanzania, Mhe. Dr. Mehmet Güllüoğlu alikuwa miongoni mwa wageni wengi waliohudhuria shughuli ya utiaji mkataba baina ya mkandarasi wa ujenzi wa meli toka kampuni ya YÜTEK ya Uturuki na wizara ya Ujenzi ya Tanzania.

=========

News in English:
15 June 2021
Mwanza, Tanzania

YÜTEK signed 4 new shipbuilding contracts with the Ministry of Transport of Tanzania​

Yücel Tekin Shipbuilding Company (YÜTEK) signed a new shipbuilding contract to build 2 general cargo, 1 passenger and 1 wagon ferry ship to be built for the Ministry of Transport of Tanzania. It was learned that the cost of the project was 180 million dollars.​

The Turkish shipbuilding industry signed 4 new shipbuilding contracts to the Tanzania Ministry of Transport within the framework of its African expansion.

YÜTEK Shipbuilding Industry Company signed a new shipbuilding contract to Tanzania Ministry of Transport to build 2 general cargo, 1 passenger and 1 wagon ferry ship. It was learned that the cost of the project was 180 million dollars.

Tanzania’s first female President Samia Suluhu Hassan participated in the new shipbuilding contract to be built under the auspices of the Tanzania Ministry of Transport. Mehmet Güllüoğlu and many guests attended.

It was stated that the design of the newly built ships will be carried out by Artı Mühendislik and 3 of the ships to be built by YÜTEK will be built in Tanzania and one general cargo ship will be built in Turkey.

It was stated that 4 new construction ships to be built for the Ministry of Transport of Tanzania will cost 180 million dollars, while it was stated that the ships to be built in Tanzania will serve in Lake Tanganyika and Lake Victoria.

FEATURES OF NEW BUILT SHIPS
Project.1:
3500dwt 100x17m Multi purpose Cargo vessel, operation area Lake Tanganyika. It will carry General Cargo in Cargo holds, Refrigerated and Normal 20″ Containers on deck, 2 25Tx17m Crane-mounted vehicles on the aft deck.

Project.2: 3500dwt 80x17m Multi purpose Cargo vessel, operation site East African Coast/Indian Ocean. General Cargo in Cargo warehouses, Refrigerated and Normal 20″ Container on the deck, 1 pcs. 25Tx17m Crane mounted, will carry vehicles on the aft deck. There will be an animal deck on the vehicle deck that will carry 65 cattle.

Project.3: 600 Passengers + 30 crew + 20 Vehicles + 80x17m Passenger Cargo ship with 400ton load capacity. Operation zone Lake Tanganyika.

Project.4: 124x17m Wagon Ferry with a capacity of 26 wagons. Operation area Lake Victoria

Source: YÜTEK signed 4 new shipbuilding contracts with the Ministry of Transport of Tanzania - News2Sea

=========

Habari za ziada:

Soma jinsi mabalozi wanategemewa kuwezesha fursa kwa kutumia diplomasia ya kiuchumi
: Kuletewa Balozi mtaalamu wa Ulinzi wa Masuala ya Mitandao ni 'Diplomatic Gesture' ?

vip ile policy ya uzalendo ya kuwapa tender wakandarasi wa ndani kama kina Songoro Marine and the alike imeishia wapi
 
Haya sasa umesikia ya jana

..huu mradi ulibuniwa na awamu ya 5.

..Na ni mradi mzuri kwasababu majority ya usd 400 million zitatumika hapahapa Tz.

..Hiyo ni tofauti na fedha za manunuzi ya ndege ambapo zote zitatumika nje ya nchi na Watz hatushiriki ktk uundaji wa ndege tulizonunua.

..Sijui kwanini vijana wa Mataga mnauchukia mradi huu wakati umeasisiwa na awamu ya 5.
 
..ninazo sababu za kuamini kwamba mradi wa ujenzi wa meli ni mzuri kuliko ununuzi wa ndege.

..tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hakuna ufisadi na upigaji ktk mikataba.

..ndege zinaundwa ktk nchi za mabeberu halafu tunaletewa hapa nchini.

..katika huu mradi meli zitajemgwa hapahapa nchini. Baadhi ya kampuni za Kitanzania.zitashiriki ktk mradi huo. Vijana wetu watapata ajira na ujuzi kupitia mradi huu.
Acheni kushabikia vitu bila utafiti wa kutosha
 
15 June 2021
Mwanza, Tanzania

Rais Samia anashuhudia utiaji saini mikataba 5 ya ujenzi na ukarabati wa meli Shilingi Bilioni 417.

Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini mikataba 4 ya ujenzi wa meli mpya na mmoja wa ukarabati wa meli . Mheshimiwa Rais amefarijika kuona kazi inaendelea ya kuifanya Mwanza na ukanda wa ziwa Victoria kuwa kitovu cha uchumi kwa maeneo ya Afrika Mashariki na pia nchi za Maziwa Mkuu za Burundi, Rwanda pamoja na Mashariki ya DR Congo.
  1. Meli ya mizigo uwezo tani 3000 ya kubeba mabehewa (wagon ferry) kukatiza ziwa Victoria
  2. Meli ya abiria uwezo watu 600 na tani 400 ziwa Tanganyika
  3. Meli ya mizigo uwezo tani 2800 ziwa Tanganyika
  4. Meli uwezo tani 2800 ya mizigo katika bahari ya Hindi
  5. Wakati meli ya MV Umoja iliyopo ktk ziwa Victoria ukarabati wake utafanywa na Kampuni toka South Korea.
Shughuli hiyo ilifanyika Leo Mwanza Tanzania ambapo wizara ya Ujenzi kwa niaba ya MSCL Kampuni ya Huduma za Meli Tanzania na Yücel Tekin Shipbuilding Company YÜTEK kampuni toka Uturuki zilisaini mkataba wa thamani ya dola za kimarekani US$180 million sawa na shilingi 417,240,000,000.

Katika hafla hiyo balozi wa Turkey nchini Tanzania, Mhe. Dr. Mehmet Güllüoğlu alikuwa miongoni mwa wageni wengi waliohudhuria shughuli ya utiaji mkataba baina ya mkandarasi wa ujenzi wa meli toka kampuni ya YÜTEK ya Uturuki na wizara ya Ujenzi ya Tanzania.

=========

News in English:
15 June 2021
Mwanza, Tanzania

YÜTEK signed 4 new shipbuilding contracts with the Ministry of Transport of Tanzania​

Yücel Tekin Shipbuilding Company (YÜTEK) signed a new shipbuilding contract to build 2 general cargo, 1 passenger and 1 wagon ferry ship to be built for the Ministry of Transport of Tanzania. It was learned that the cost of the project was 180 million dollars.​

The Turkish shipbuilding industry signed 4 new shipbuilding contracts to the Tanzania Ministry of Transport within the framework of its African expansion.

YÜTEK Shipbuilding Industry Company signed a new shipbuilding contract to Tanzania Ministry of Transport to build 2 general cargo, 1 passenger and 1 wagon ferry ship. It was learned that the cost of the project was 180 million dollars.

Tanzania’s first female President Samia Suluhu Hassan participated in the new shipbuilding contract to be built under the auspices of the Tanzania Ministry of Transport. Mehmet Güllüoğlu and many guests attended.

It was stated that the design of the newly built ships will be carried out by Artı Mühendislik and 3 of the ships to be built by YÜTEK will be built in Tanzania and one general cargo ship will be built in Turkey.

It was stated that 4 new construction ships to be built for the Ministry of Transport of Tanzania will cost 180 million dollars, while it was stated that the ships to be built in Tanzania will serve in Lake Tanganyika and Lake Victoria.

FEATURES OF NEW BUILT SHIPS
Project.1:
3500dwt 100x17m Multi purpose Cargo vessel, operation area Lake Tanganyika. It will carry General Cargo in Cargo holds, Refrigerated and Normal 20″ Containers on deck, 2 25Tx17m Crane-mounted vehicles on the aft deck.

Project.2: 3500dwt 80x17m Multi purpose Cargo vessel, operation site East African Coast/Indian Ocean. General Cargo in Cargo warehouses, Refrigerated and Normal 20″ Container on the deck, 1 pcs. 25Tx17m Crane mounted, will carry vehicles on the aft deck. There will be an animal deck on the vehicle deck that will carry 65 cattle.

Project.3: 600 Passengers + 30 crew + 20 Vehicles + 80x17m Passenger Cargo ship with 400ton load capacity. Operation zone Lake Tanganyika.

Project.4: 124x17m Wagon Ferry with a capacity of 26 wagons. Operation area Lake Victoria

Source: YÜTEK signed 4 new shipbuilding contracts with the Ministry of Transport of Tanzania - News2Sea

=========

Habari za ziada:

Soma jinsi mabalozi wanategemewa kuwezesha fursa kwa kutumia diplomasia ya kiuchumi
: Kuletewa Balozi mtaalamu wa Ulinzi wa Masuala ya Mitandao ni 'Diplomatic Gesture' ?
Sasa mbona katumbua watu kwenye mradi huhuhu aliouzindua?
 
Acheni kushabikia vitu bila utafiti wa kutosha

..ni common sense tu.

..ununuzi wa ndege fedha yote tunawapa mabeberu, na zikifika hapa tunaingia hasara kila mwaka.

..meli majority zinajengwa hapa nchini. Baadhi ya material zitatoka hapahapa nchini. Vijana wetu watashiriki ktk ujenzi wa meli.

..labda ungetuonyesha utafiti ulioufanya kuhusu ujenzi wa meli vs ununuzi wa ndege ili tuone validity ya mtizamo wako.

..ukiondoa huo upigaji, mimi nau-support huu mradi.
 
Back
Top Bottom