Kampuni ya YÜTEK ya Uturuki yasaini mikataba ya ujenzi wa meli

Duh,hiyo nchi mbombo ngafu.
Kuna jamaa sijui mkurugenzi wa TPA nimemuona akijieleza anatetemeka na missread kibao, aisee nikajua tu huyu analiwa kichwa na yametokea.
Mkurugenzi kaliwa kichwa
 
Michadema hii na fikra mgando nia yao kuharibu legacy ya JPM
 
Mama anafungua nchi
Chief Hangaya
Bi.Tozo

Zile sifa naomba ziendele hapa
Tukisema Hangaya anaungwa mkono na majizi naomba ieleweke hivyo
 
Hivi unadhani hii comment yako ilikuwa si ya kilevi?

..ninazo sababu za kuamini kwamba mradi wa ujenzi wa meli ni mzuri kuliko ununuzi wa ndege.

..tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hakuna ufisadi na upigaji ktk mikataba.

..ndege zinaundwa ktk nchi za mabeberu halafu tunaletewa hapa nchini.

..katika huu mradi meli zitajemgwa hapahapa nchini. Baadhi ya kampuni za Kitanzania.zitashiriki ktk mradi huo. Vijana wetu watapata ajira na ujuzi kupitia mradi huu.
 


vip ile policy ya uzalendo ya kuwapa tender wakandarasi wa ndani kama kina Songoro Marine and the alike imeishia wapi
 
Haya sasa umesikia ya jana

..huu mradi ulibuniwa na awamu ya 5.

..Na ni mradi mzuri kwasababu majority ya usd 400 million zitatumika hapahapa Tz.

..Hiyo ni tofauti na fedha za manunuzi ya ndege ambapo zote zitatumika nje ya nchi na Watz hatushiriki ktk uundaji wa ndege tulizonunua.

..Sijui kwanini vijana wa Mataga mnauchukia mradi huu wakati umeasisiwa na awamu ya 5.
 
Acheni kushabikia vitu bila utafiti wa kutosha
 
Sasa mbona katumbua watu kwenye mradi huhuhu aliouzindua?
 
Acheni kushabikia vitu bila utafiti wa kutosha

..ni common sense tu.

..ununuzi wa ndege fedha yote tunawapa mabeberu, na zikifika hapa tunaingia hasara kila mwaka.

..meli majority zinajengwa hapa nchini. Baadhi ya material zitatoka hapahapa nchini. Vijana wetu watashiriki ktk ujenzi wa meli.

..labda ungetuonyesha utafiti ulioufanya kuhusu ujenzi wa meli vs ununuzi wa ndege ili tuone validity ya mtizamo wako.

..ukiondoa huo upigaji, mimi nau-support huu mradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…