Kampuni ya ZANREC RECYCLING tunajishughulisha na utengenezaji wa mbao na nguzo za plastiki

Kampuni ya ZANREC RECYCLING tunajishughulisha na utengenezaji wa mbao na nguzo za plastiki

mtataina

Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
13
Reaction score
6
Kampuni ya ZANREC RECYCLING tunajishughulisha na utengenezaji wa mbao na nguzo za plastiki, ni mbao imara na zinadum kwa mda mrefu kama ilivyo plastiki huishi zaidi ya miaka 50, mbao hizi zinatumika kawaida kama mbao zingine, uzuri wa hizi mbao haziozi, haziliwi na wadudu, pia ni rafiki kwa mazingira, tuna size ya 2x2, 4x2, 4x4, 8x2 na 4x1, pia tunazo za round size ya 3,3 kwa feet 10 pamoja na size zingine, Mbao hizi unaweza kutumia sehem zenye maji maji kama beach, ukatumia kutengeneza pergola, greenhouses, fensi ya shambani, pallets pamoja na matumizi mengine. Tunapatikana Zanzibar na Dar es salaam.

Kwa mawasiliano zahidi

WhatsApp Image 2025-02-24 at 09.16.34.jpeg

WhatsApp Image 2025-02-24 at 11.06.03.jpeg


Namba zetu ni call & WhatsApp 0757671874.

Email: [email protected]
 
Tunatengeneza na kuuza sun bed pisi 1 bei yake ni 375,000
 
Wewe ni dalali au Mpambe wa Mwenye mali.
Tutajie bei 2x2 bei gani
2x3, 2x4, 2x5, 2x6, 1 x8.
 
Back
Top Bottom