😂 😂Maisha ni mchezo, walionunua imekula kwao! Ni kwa nini hawakufanya ukaguzi kabla?
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mikataba mikubwa kama hiyo watu hawakubaliani online boy, team inatumwa katika nchi husika na kukaa chini wakijadiri kipengere kimoja baada ya kimoja.Watu hatari hao, madhara ya onilaini bizinesi
Hizi cases ni ngumu sana na huchukua miaka kwenye biashara za biashara za kimataifa. Ila ikiisha fine yake inaweza ikaifirisisha kampuni.Maisha ni mchezo, walionunua imekula kwao! Ni kwa nini hawakufanya ukaguzi kabla?
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
We ndiyo umeelewa.....baki na uelewa wakoAcha kukariri. Nasema tena acha kukariri! Umesoma habari? Umeielewa? Online businness unajua maana yake?
😂 😂 Wanapigwa CIA, wewe unaetaka kuwa na kuku buku kwa kuanzia na nyoya ni nani?Halafu mnawalaumu na kuwacheka wabongo kupigwa kwenye Deci, mr kuu na qnet