Kampuni za Alpha hazilipi kodi!

Kampuni za Alpha hazilipi kodi!

Nani ana mamlaka zaidi kati ya Kitilya na body ya wakurugenzi? la zaidi, nini kazi ya body ya wakurugenzi (najua ina prominent professionals).

Dada umeambiwa kuwa Alpha wanaiba kwa kushirikiana na vigogo wa TRA. Sasa unataka hao hao TRA wajishughukie wenyewe?
 
Dada umeambiwa kuwa Alpha wanaiba kwa kushirikiana na vigogo wa TRA. Sasa unataka hao hao TRA wajishughukie wenyewe?

Mimi nadhani huyu aliyeanzisha hii thread ametupa pa kuanzia maana jambo hili lilikuwa siri kubwa na pengine ingechukua uhai wa mtu kuigundua. Sasa changamoto hapa iko kwa serikali kufuatilia hili na kuchukua hatua zinazostahili na kwa kweli heshima ya serikali itategemea sana namna itakavyolishughulikia jambo hili. Huyu bwana ana tabia ambazo zinafanana na mambo yaliyokuwa yanafanyika huko nchi za America ya kusini zamani sana. Lakini wenzetu waliweza kulimaliza hili na kufyeka element zote za ufisadi huu wa kijinga unaofanyika na watu ambao kwa kutumia fedha hizo hizo wanataka kulazimisha kututawala. Halafu wakiambiwa wao ni magamba wanaanza kuwatumia akina Mashishanga kukebehi juhudi za kuwatosa. Lakini siku zao zinahesabika!
 
Huyu jamaa ana dhambi kubwa kuliko wengi tunavyofikiria na kwa sababu watu wamejikita kwenye Richmond, wanadhani kwamba huo ndiyo wizi pekee, lakini kwa uwezo wa Mungu tutaendelea kushusha kashfa zake ili kila Mtanzania amjue adui yake namba moja ambaye anachangia wao kukosa hata mlo wa siku au kukosa huduma muhimu za kijamii.

Kwa sababu hili ni janga la kitaifa kama yalivyo mengine kama vile ukimwi, kuna haja ya kuanzisha mapambano ya dhati na ya nguvu dhidi ya janga linaloitwa Lowassa!
 
Jamani suala la huyu jamaa si la kulichekea na hawa maaskofu wanaoijtosa kumuunga mkono kwa sababu za tumbo wanamkosea sana Mungu na sijui kama wanalijua hilo. Yaani leo tumefika mahali mtu ambaye ni mporaji anaonekana shujaa na kuimbiwa mapambio na watu wenye heshima kama hawa! Nimemkubali Mzee Malecela kwenye mahubiri yake ya jana aliyesema kwamba wanadamu alzima tuwe na kiasi na aliipiga hiyo live wakati jamaa akiwa pembeni.
 
Halafu wanaibuka mabwege wanaojiita GT ua NSSF Damu ambao kazi yao ni kuimba mapambio ya kuwasifu kwa udhalimu na unyama wao kwa wa-tz, na kuendesha harakati za kuwatakasa. Lakini ukweli unabaki kwamba huyu jamaa ni kama nguo chakavu, kila unaposhona hapa panaachia pale. Lakini pamoja na kwamba Rais wetu JK ameshiba dini na kujaaliwa uvumilivu wa hali ya juu, iko siku ataamka na kuwatia adabu kama ambavyo amekwishaanza na ule moto wa CC. Tunasubiri majeshi ya kukodiwa, wakiwemo wanasiasa machachari na wenye heshima wa upinzani watujie na porojo za kuhamisha mada na kuwatakasa!

Kwani JK analipa kodi?
 
Majungu ugonjwa mbaya sana....mtabaki hivo hivo na majungu hamtakaa kamwe muwe matajiri kwa sababu ya kukalia kufanya majungu..sasa kama hailipi kodi ndo nini?si wapo watu wnaotakiwa kukusanya kodi?nyie vipi bana
 
Weka ushahidi mwana ili TRA wapate go ahead ya ku...

Kuna dalili ya habari ya kisiasa! ni mtiririko wa maneno tu yasiyo na ushahidi wala chanzo muhimu, Wt ndiyo tunajua kuwa El ni sehemu ya mafisadi wakubwa tz, lakini kwanini Mkweeere hatajwi kwani yeye na mwanae R1 wanautajiri unavunja rekodi ya wenye pesa tz? Wana malori yakutisha yanayo kwenda Rwanda,Kongo,Burundi na wameweka majina ya watu wengine kabisa. R1 ameingiza nchini magari ya kifahari kwanjia za panya kule tanga bila kulipa ushuru hata senti moja, na magari haya tunaushahidi wakutosha kuwa dogo anafanya biznes na baadhi ya marais wengi tu barani Afrika mf: rais wa Guine,rais wa Kongo,King Mswati nk Swali ni je dogo anakampuni ya uuzaji wa magari tena ya kifahari? analipako? mtaji kaupata wapi? WOTE HAWA NI WEZI WA LASILIMALI ZA TAIFA HILI!
 
na wewe weka ushahidi...
 
Ama kweli huu ni utapiamlo wa kiakili. Kwa hiyo hii counter allegation yako (tena ya kutunga) inasaidiaje kujibu hoja kwamba huyu jamaa na kampuni zake hawalipi kodi? Mimi ningefurahi kama ungesema kwamba huyu jamaa analipa kodi au ana msamaha halali wa kutolipa kodi, ndipo sasa utoe orodha ya wakwepa kodi wengine. Tunachosema ni kwamba huyu bwana ni mhujumu uchumi wa nchi hii na kama wewe unadai kuna wengine basi shusha orodha ili nao wafuatiliwe.

Hapa suala la msingi ni kwamba kampuni zake huyu bwana zinafahamika na sasa aonyeshe vielelezo kwamba amekuwa akilipa kodi zake kama sheria inavyomtaka. Asipofanya hivyo, yeye, familia yake na hao TRA ni wahalifu wanaostahili nafasi zao kule ukonga au segerea.
 
Majungu ugonjwa mbaya sana....mtabaki hivo hivo na majungu hamtakaa kamwe muwe matajiri kwa sababu ya kukalia kufanya majungu..sasa kama hailipi kodi ndo nini?si wapo watu wnaotakiwa kukusanya kodi?nyie vipi bana

Umedhihirisha umbumbumbu wako kwa kutetea jina badala ya hoja ambayo hata hivyo huijui hata kidogo. Hivi mtu kufichua dhambi za mtu ni majungu? Mbona sasa unasema hilo ni jukumu la TRA kama unaamini kwamba taarifa nzima ni majungu. Kaka acha kujitolea kazi usiyotumwa na usiyoijua vizuri. Wenzio waliokaa kimya walikuwa na maana yao. Hawakutaka kujifedhehesha kama ulivyofanya wewe!
 
mie nikidhani hapa nitakuta vitu vilivyokomaa vya wanabiashara na wachumi. badala yake kuna porojo za mitaani na kisiasa. am disappointed. leteneni mambo ambayo ni scientific. hii thread ilifaa iwe kwenye chit chat. ni bora nyie MODS mkawa mume specialize katika fani mbalimbali kuondoa vitu kama hivi vya "uzushi". we want stuff here.
 
Nadhani unahitaji kurudi shule (kama ulipita) wewe. Hivi kuwa scientific unaelewaje wewe? Hii ni habari ya biashara na hapa ndiyo mahala pake. Labda kwako tatizo ni kutajwa mtu ambaye kwako ni untouchable, ndiyo maana unahemka kinoma!
 
Mwaga ushahidi wa kisayansi hapa kama cdm wanavyofanya bungeni na nje - kwani lowassa ni nani pakiwa na concrete evidence. Msiamshe mori zetu kwa vitu vya kiporojo.
 
Mwaga ushahidi wa kisayansi hapa kama cdm wanavyofanya bungeni na nje - kwani lowassa ni nani pakiwa na concrete evidence. Msiamshe mori zetu kwa vitu vya kiporojo.

Brother umekodiwa vibaya! Wenyewe wametulia tuli kwa sababu wanajua wanachokifanya halafu wewe uko busy kudai ushahidi. Hebu tuondokee huko!
 
brother umekodiwa vibaya! Wenyewe wametulia tuli kwa sababu wanajua wanachokifanya halafu wewe uko busy kudai ushahidi. Hebu tuondokee huko!

haya tukukubalie halipi kodi - pasuka basi
 
Back
Top Bottom