chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,008
Hku radio za bongo masafa yake hayapatikani kabisaHuko kwenu hakuna hata redio mkuu?
Mkuu kuacha TALA n kampuni gani nyingine iko vzr?unakopa ef5 unalipa ef5500 unakopeshwa tena ef6
unalipa ef6900
unakopeshwa ef7500
ni upuuzi mkubwa
BranchMkuu kuacha TALA n kampuni gani nyingine iko vzr?
hakunaMkuu kuacha TALA n kampuni gani nyingine iko vzr?
NdyoKukopa tena ?????.
Jinsi ya kukopa unafanyaje?Tigo Niwezeshe ni wabovu hatari
Sawa mkuuhakuna
Wa kiwango cha lamiunakopa ef5 unalipa ef5500 unakopeshwa tena ef6
unalipa ef6900
unakopeshwa ef7500
ni upuuzi mkubwa
Hii ni mojawapo ya njia ya kupunguza uzito. Stress za wiki moja tu kutokana na kushindwa kurejesha mkopo, zitakufanya upoteze kilo 5 hivi hivi. Bora ukope kwa ndg,jamaa au rafiki sio taasisi za mikopo. Hii itakusaidia kuepuka riba na pia hutoweka dhamana kwa mtu unayejuana naeKama mnavyoelewa hizi nyakati za vyuma kukaza kisawasawa.Naomba kufahamu kuhusu kampuni zinazotoa mikopo kupitia mitandao lakini kwa riba nafuu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Check na hao.Kama mnavyoelewa hizi nyakati za vyuma kukaza kisawasawa.Naomba kufahamu kuhusu kampuni zinazotoa mikopo kupitia mitandao lakini kwa riba nafuu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Sawa mkuu tuelekeze wadau jinsi ya kujiunga na hao M kobaKuna jamaa wanaitwa M-Koba sijajua kama wameanza ila wao unajiunga nadhan kwa buku 2... Unakua mwanachama.. Halafu wanatoa mafunzo na mitaji... Ndo walikua wanajiandaa kufungua... Nilikuepo kwenye kikao cha mwanzon cha wadau....
Nahisi hapo kampuni kibao za wakenya.Check na hao.View attachment 881185
umesha watumia tala na branch na sasa unatafuta wengine?Nahisi hapo kampuni kibao za wakenya.
Je hizo kampuni hta bongo zina operate?