Kampuni za kutoa mikopo kwenye mitandao

Kampuni za kutoa mikopo kwenye mitandao

chendelela

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
1,145
Reaction score
1,008
Kama mnavyoelewa hizi nyakati za vyuma kukaza kisawasawa.Naomba kufahamu kuhusu kampuni zinazotoa mikopo kupitia mitandao lakini kwa riba nafuu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kuna jamaa wanaitwa M-Koba sijajua kama wameanza ila wao unajiunga nadhan kwa buku 2... Unakua mwanachama.. Halafu wanatoa mafunzo na mitaji... Ndo walikua wanajiandaa kufungua... Nilikuepo kwenye kikao cha mwanzon cha wadau....
 
Hii ni mojawapo ya njia ya kupunguza uzito. Stress za wiki moja tu kutokana na kushindwa kurejesha mkopo, zitakufanya upoteze kilo 5 hivi hivi. Bora ukope kwa ndg,jamaa au rafiki sio taasisi za mikopo. Hii itakusaidia kuepuka riba na pia hutoweka dhamana kwa mtu unayejuana nae
 
Kama mnavyoelewa hizi nyakati za vyuma kukaza kisawasawa.Naomba kufahamu kuhusu kampuni zinazotoa mikopo kupitia mitandao lakini kwa riba nafuu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Check na hao.
IMG-20180928-WA0004.jpg
 
Kuna jamaa wanaitwa M-Koba sijajua kama wameanza ila wao unajiunga nadhan kwa buku 2... Unakua mwanachama.. Halafu wanatoa mafunzo na mitaji... Ndo walikua wanajiandaa kufungua... Nilikuepo kwenye kikao cha mwanzon cha wadau....
Sawa mkuu tuelekeze wadau jinsi ya kujiunga na hao M koba
 
Back
Top Bottom