Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Wapendwa tumelia na kausha damu lakini kuna kausha damu wengine makampuni ya takataka.
Kuna kampuni inaitwa Mkede hii kampuni Ina miezi sita haijabeba uchafu alafu wamekuja na viongozi wa Serikali za mitaa wanaanza kukusanya pesa za miezi sita.
Wanaulizwa wanasema haiwahusu wakaulizwa watendaji ghafla wanakuletea askari shirikishii, huu ni uhuni na ushenzi.
Kama na nyie mnaleewa wahuni wekeni hapa.