Kampuni za Logistic

Mademoiselle

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
704
Reaction score
2,842
Habari za mida wadau....
Kama kuna mtu mwenye kampuni, anaefanya kazi, anaejihusisha na mambo ya usafirishaji wa mizigo kuanzia bandarini mpaka kumfikia mteja ndani na nje ya nchi including masuala yote ya clearing and forwarding za mizigo mbalimbali inayoingia nchini tafadhali naomba contacts dm.
 
Nipe kazi ya import

Toka nchi yeyote ile, mzigo utafika nchini na nitasimamia masuala yote hadi delivery mkoa husika.

 
Nipo mpaka wa boda ya kasumulu yani mpaka wa Tanzania na Malawi,, 0765891704
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…