NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,952
- 1,181
Nakaribia hatua ya uezekaji, ila uwezo wa kununua ALAF naona sina, kuna mabat mengi yanatangazwa kama Dragon, Taishan, sunbank, Kinglion, Mabati Bomba, Kiboko etc..ni Kampuni gani angalau ina bati angalau bora..Naogopa yasinikute kama hayo.