Kampuni za mabati za kuziogopa

Kampuni za mabati za kuziogopa

NetworkEngineer

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
1,952
Reaction score
1,181
Nakaribia hatua ya uezekaji, ila uwezo wa kununua ALAF naona sina, kuna mabat mengi yanatangazwa kama Dragon, Taishan, sunbank, Kinglion, Mabati Bomba, Kiboko etc..ni Kampuni gani angalau ina bati angalau bora..Naogopa yasinikute kama hayo.
Screenshot_20230529_165505_Instagram.jpg
 
Nakaribia hatua ya uezekaji, ila uwezo wa kununua ALAF naona sina, kuna mabat mengi yanatangazwa kama Dragon, Taishan, sunbank, Kinglion, Mabati Bomba, Kiboko etc..ni Kampuni gani angalau ina bati angalau bora..Naogopa yasinikute kama hayo.View attachment 2639344
Hii Alaf mnaiogopa lakini bei zake sio kali sana, fika ofisini kwao ujue utofauti wa bei, kama gap ya huko kwengine na Alaf si kubwa, bora ufute subira uongeze ukanunue Alaf, hautajuta,

Mi mpaka sasa bati linamelemeta,
 
Hii Alaf mnaiogopa lakini bei zake sio kali sana, fika ofisini kwao ujue utofauti wa bei, kama gap ya huko kwengine na Alaf si kubwa, bora ufute subira uongeze ukanunue Alaf, hautajuta,

Mi mpaka sasa bati linamelemeta,
Oookay
 
Uimara wa bati ni material yaliyotumika, kwenye matoleo ya size (gauge) zinalingana
 
Alaf na AndO bei ni juu sana asikudanganye mtu
Kulingana na ubora wake bei yake ni affordable mkuu, jichanganye kanunue hizo za bei chee na ujenzi wetu wa kuungaunga hata hujaamia bati ishapauka
 
Back
Top Bottom