Kampuni za mabati za kuziogopa

Hii Alaf mnaiogopa lakini bei zake sio kali sana, fika ofisini kwao ujue utofauti wa bei, kama gap ya huko kwengine na Alaf si kubwa, bora ufute subira uongeze ukanunue Alaf, hautajuta,

Mi mpaka sasa bati linamelemeta,
 
Oookay
 
Uimara wa bati ni material yaliyotumika, kwenye matoleo ya size (gauge) zinalingana
 
Mbona alaf bei yake ni affordable mkuu
 
Alaf na AndO bei ni juu sana asikudanganye mtu
Kulingana na ubora wake bei yake ni affordable mkuu, jichanganye kanunue hizo za bei chee na ujenzi wetu wa kuungaunga hata hujaamia bati ishapauka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…