Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Si mbaya kuuliza, nimewaza tu kama haya makampuni ya simu yanakopwa na Jesca ama Betty.
Gafla mimi natumiwa meseji na haya makampuni ya kukopa ati ndugu ama mfadhili wa Betty unaombwa kumjulisha tapeli ametaka kututapeli kiasi kadhaa.
Nawaaambia nimeshtuka sana, gaflaaa nikauliza umepata namba wapi namba yangu wakasema kwenye line ya betty.
Wapendwa, mbaya wakaniunganisha na group, matusi waliopata hawatasahau tena na zaidi nikamwendea admn, nikamwambia aliyekutuma kuniunga nani? Unajua sheria hazikuruhusu kufanyaaa huu ujinga?
Nikamwambia endelea, gaflaa nikatuma maongezi kwa group nikawambia anachokitafuta atakipata
Katoa group zima mmoja mmoja na wahuni mmoja aliuliza mko wapi tuje kulipa mama? Akafuta mmoja mmoja.
Ulizeni wako wapi tukalipe?