Kampuni za mikopo ya mtandaoni zinatoa wapi namba zetu kwa sisi ambao hatujawahi kukopa?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Si mbaya kuuliza, nimewaza tu kama haya makampuni ya simu yanakopwa na Jesca ama Betty.

Gafla mimi natumiwa meseji na haya makampuni ya kukopa ati ndugu ama mfadhili wa Betty unaombwa kumjulisha tapeli ametaka kututapeli kiasi kadhaa.

Nawaaambia nimeshtuka sana, gaflaaa nikauliza umepata namba wapi namba yangu wakasema kwenye line ya betty.

Wapendwa, mbaya wakaniunganisha na group, matusi waliopata hawatasahau tena na zaidi nikamwendea admn, nikamwambia aliyekutuma kuniunga nani? Unajua sheria hazikuruhusu kufanyaaa huu ujinga?

Nikamwambia endelea, gaflaa nikatuma maongezi kwa group nikawambia anachokitafuta atakipata

Katoa group zima mmoja mmoja na wahuni mmoja aliuliza mko wapi tuje kulipa mama? Akafuta mmoja mmoja.

Ulizeni wako wapi tukalipe?
 
MWAMBIE BETTY DAWA YA DENI NI KULIPA AKALIPE
 
Mi nawakopa afu namba za wadhamini naweka za kwangu za mtandao mwingine, nawapiga matusi mpaka wanajuta.

Wanaoperate kinyume cha sheria, hawana leseni za BoT, ni watakatishaji fedha hawa mafala.

Mpaka sasa nimekopa apps 17, jumla ya million 1 na laki 6. Wote niliwakopa siku 1, mpaka sasa hakuna app hata 1 wanayonikopesha tena
 
M nineweka
1..ya kkewangu
2.hgal
3.dogo home
4.yangu airtel
5.yangu airtel
6.yangu voda
7.ya mlinzi wa moshi
8. X
9.x
10.natafuta wa jf

Nk
Nasikia wanapigikq kwelii
 
MKUUU UNAWAJUA VIZURI

HAWA N KUNA WATU WANAWALINDA BOT NA WIZARAN MPAKA SAASA MAKAMPUNI ZAIDI YA 20 YANAPATA NGUVU WAPI KUTESA WATU HIVII
 
MKUUU UNAWAJUA VIZURI

HAWA N KUNA WATU WANAWALINDA BOT NA WIZARAN MPAKA SAASA MAKAMPUNI ZAIDI YA 20 YANAPATA NGUVU WAPI
MWAMBAAA NDIEE MWAMBAA NIKIKUTAA MBINGUNI NARUDI KHAAA UMENIKOSHAQA
 
Swala ni kua Betty amekusevu na wakati ana download app ya mkopo alikubali app ku access phonebook yake. Kwa hiyo app ya mkopo iliyoko kwenye simu ya Betty ndio inayotuma taarifa head office yao kua nawe ni mmoja ya walioseviwa na Betty.
 
Umelewa matap tap au
 
Ila kwer😂😂
 
Swala ni kua Betty amekusevu na wakati ana download app ya mkopo alikubali app ku access phonebook yake. Kwa hiyo app ya mkopo iliyoko kwenye simu ya Betty ndio inayotuma taarifa head office yao kua nawe ni mmoja ya walioseviwa na Betty.
Wewe tu ndiyo unaelewa. Mleta mada na wachangiaji wengine hawajui chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…