Mechanical
Member
- Oct 20, 2020
- 70
- 106
Taja kampuni na site ilipo ndio utashauriwa kiufasaha.Habari wana JF,
Heshima kwenu wakubwa zangu, mimi ni kijana umri miaka kadhaa naomba kupata ufafanuzi kuhusu hizi taasisi zinazouza viwanja ( realestate company's).
Hivi ni kweli kuna watu wananunua na wanamiliki au ni njia tu ya upigaji? Naomba kupata mwongozo kwa wale waliowahi kununua kunihakikishia hii kitu ipo kweli hapa TZ, ili na mimi nisije nikawa mchangiaji.
Asante sana kwa mchango wako. Kampuni kama snow propert, vinajana realestate n.k nataman niwape biashara ninunue kwaoTaja kampuni na site ilipo ndio utashauriwa kiufasaha.
Kimsingi makampuni huwa yananunuwa mashamba ya watu na kupima viwanja na kuviuza, au sometimes kuingia mkataba na wenye mashamba kupima viwanja na kuuza kwa kugawana percent.
Migogoro mikubwa hutokea kama wamiliki wa mashamba hawajalipwa fidia au eneo linamilikiwa na serikali.