Kampuni za simu kuongeza bei kiholela ni kuidharau Serikali au kuna ubia na Viongozi?

Kampuni za simu kuongeza bei kiholela ni kuidharau Serikali au kuna ubia na Viongozi?

Hivi hatuwezi kuanzisha mtandao wetu tukaachana na kero hizi za kila mwaka? Mbona Trump aliamua kujiongeza baada ya kufungiwa twita?

Sponsor mkuu wetu ni Maxence Melo
 
Mbaya zaidi hao wahusika wakusimamia na wenyewe wanatumia vifurushi hivyohivyo wanaona mabadiliko na wamenyamaza kama wao hawasemi nani atasema Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote[emoji7]
Wafanyakazi wa mitandao ya simu wanakuwa na special dial ya kujiunga. Hivyo hata hao tcra, wizara,ikulu zina special yao
 
Tuwapigeni sanctions za kususia mitandao yao, hadi washushe bei. Hatuwezi kuwawajibisha ilhali tunaendelea kwa mtindo huu kujaza bando zao kila baada ya dakika ^tar-know!^
Kususia sio dawa maana ni kujikomoa wenyewe. Sasa hivi habari zote ulimwenguni tunazipata kwa nguvu ya data, shughuli nyingi za kibenki na kiofisi zinategemea mtandao, nk. Jee utajitengaje? Hapo tulitegemea ulinzi wa serikali hii hii ambayo pengine ukiangalia kwa jicho la tatu unaona wazi katika kula kwa urefu wa kamba, kampuni zote za simu za kibepari hazishindwi kuchangishana bilioni na kumpa @napennauye ili apotezee tuu
 
Back
Top Bottom