Mbaya zaidi hao wahusika wakusimamia na wenyewe wanatumia vifurushi hivyohivyo wanaona mabadiliko na wamenyamaza kama wao hawasemi nani atasema Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote[emoji7]
Tuwapigeni sanctions za kususia mitandao yao, hadi washushe bei. Hatuwezi kuwawajibisha ilhali tunaendelea kwa mtindo huu kujaza bando zao kila baada ya dakika ^tar-know!^
Kususia sio dawa maana ni kujikomoa wenyewe. Sasa hivi habari zote ulimwenguni tunazipata kwa nguvu ya data, shughuli nyingi za kibenki na kiofisi zinategemea mtandao, nk. Jee utajitengaje? Hapo tulitegemea ulinzi wa serikali hii hii ambayo pengine ukiangalia kwa jicho la tatu unaona wazi katika kula kwa urefu wa kamba, kampuni zote za simu za kibepari hazishindwi kuchangishana bilioni na kumpa @napennauye ili apotezee tuu