M munishi Member Joined Jan 28, 2011 Posts 16 Reaction score 3 Jul 12, 2011 #1 Jaman wana jamii haya makampuni ya simu hapa Tz wanaajiri vipi? maana kila wanaongeza ofisi ila sioni wanatangaza ajira
Jaman wana jamii haya makampuni ya simu hapa Tz wanaajiri vipi? maana kila wanaongeza ofisi ila sioni wanatangaza ajira
Kivumah JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,427 Reaction score 1,054 Jul 12, 2011 #2 Wewe peleka CV yako iache/isahau hapo. Utaingizwa kwenye Data Base, nafasi ikitokea kama una bahati zako utaitwa. Mambo ya kutangazatangaza nayo ni Gharama.
Wewe peleka CV yako iache/isahau hapo. Utaingizwa kwenye Data Base, nafasi ikitokea kama una bahati zako utaitwa. Mambo ya kutangazatangaza nayo ni Gharama.
L'AMOUR Senior Member Joined Mar 8, 2011 Posts 111 Reaction score 24 Jul 12, 2011 #3 Mbona huwa wanatangaza mkuu ni kwamba ni lazima uwe karibu na information utapata au la wanatumia job agent.
Mbona huwa wanatangaza mkuu ni kwamba ni lazima uwe karibu na information utapata au la wanatumia job agent.
nelugendo Member Joined Jul 7, 2011 Posts 11 Reaction score 3 Jul 13, 2011 #4 unataka ipi?kama ni cutomer care huwa wana peleka tenda kwa recruitment agents