kampuni za simu TZ

kampuni za simu TZ

munishi

Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
16
Reaction score
3
Jaman wana jamii haya makampuni ya simu hapa Tz wanaajiri vipi? maana kila wanaongeza ofisi ila sioni wanatangaza ajira
 
Wewe peleka CV yako iache/isahau hapo. Utaingizwa kwenye Data Base, nafasi ikitokea kama una bahati zako utaitwa.
Mambo ya kutangazatangaza nayo ni Gharama.
 
Mbona huwa wanatangaza mkuu ni kwamba ni lazima uwe karibu na information utapata au la wanatumia job agent.
 
unataka ipi?kama ni cutomer care huwa wana peleka tenda kwa recruitment agents
 
Back
Top Bottom