Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, nikama kuna tatizo kidogo kwenye bongo zenu kuhusiana na Starlink
Waafrika siku zote ni kama tuna laana linapokuja swala la kutumia akili ndiyo maana wenzetu rangi nyeupe watazidi kuwa juu
Kampuni ya simu ya Tanzania yanaendeshwa na wasimamizi wenye bongo changa na kama sivyo basi zimelala kwasababu ninyi mmekuwa kikwazo kikubwa cha kuzuia Starlink hapa Tanzania kwasababu za ovyo na za kijinga kwamba mtakosa wateja Starlink itakapoingia
Badala ya kufikiri ujinga huu mnapaswa mboreshe huduma zenu za internet ikiwemo kuongeza speed itakayofanana na ya Starlink pamoja na kuboresha huduma nzima ya Mawasiliano
Kampuni za simu za Tanzania zinaingiza mapato makubwa sana lakini ni kama mna laana ya mafanikio sijui hizo fedha mnapeleka wapi mpaka sasa Tanzania huduma ya Mawasiliano kwa mikoa mingine ni changamoto kubwa sana hakuna Mawasiliano inafikia mahali Watanzania wanapanda juu ya miti au kusogea mjini ili wapate Mawasiliano hasa internet
Changamoto kama hizi mkitazama hamuoni kwamba mna kama ujinga fulani hivi na ndiyo maana hamuwezi kufanana na wazungu mnabaki kuwa wajinga
Badala ya kutumia mapato yenu kuboresha huduma za internet mnakaa sana ofisini kwani mnataga? Ondokeni humo ofisini nendeni mkajenge minara na kuongeza kasi ya internet mshindane na Starlink
Acheni ujinga wa kuzuia Starlink