Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, mmekuwa ni kikwazo kikubwa cha ujio wa Starlink

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, nikama kuna tatizo kidogo kwenye bongo zenu kuhusiana na Starlink

Waafrika siku zote ni kama tuna laana linapokuja swala la kutumia akili ndiyo maana wenzetu rangi nyeupe watazidi kuwa juu

Kampuni ya simu ya Tanzania yanaendeshwa na wasimamizi wenye bongo changa na kama sivyo basi zimelala kwasababu ninyi mmekuwa kikwazo kikubwa cha kuzuia Starlink hapa Tanzania kwasababu za ovyo na za kijinga kwamba mtakosa wateja Starlink itakapoingia

Badala ya kufikiri ujinga huu mnapaswa mboreshe huduma zenu za internet ikiwemo kuongeza speed itakayofanana na ya Starlink pamoja na kuboresha huduma nzima ya Mawasiliano

Kampuni za simu za Tanzania zinaingiza mapato makubwa sana lakini ni kama mna laana ya mafanikio sijui hizo fedha mnapeleka wapi mpaka sasa Tanzania huduma ya Mawasiliano kwa mikoa mingine ni changamoto kubwa sana hakuna Mawasiliano inafikia mahali Watanzania wanapanda juu ya miti au kusogea mjini ili wapate Mawasiliano hasa internet

Changamoto kama hizi mkitazama hamuoni kwamba mna kama ujinga fulani hivi na ndiyo maana hamuwezi kufanana na wazungu mnabaki kuwa wajinga

Badala ya kutumia mapato yenu kuboresha huduma za internet mnakaa sana ofisini kwani mnataga? Ondokeni humo ofisini nendeni mkajenge minara na kuongeza kasi ya internet mshindane na Starlink

Acheni ujinga wa kuzuia Starlink
 
Naskia hao starlink wanaweza operate TZ bila kuwa na mfanyakazi hata mmoja ndani ya nchi
Sawa tu, maadam mlaji wa mwisho atafaidika.
Kinachofanyika sasa hivi ni kukandamizwa na wizi wa wazi.
Tunaibiwa sana MB na zinauzwa kwa bei aghali mno, ukiwauliza wanakwambia tatizo ni sisi.
Safaricom hapo Kenya wameanza kutoa mlio, bado hawa wa hapa.
 
Makampuni ya Simu ya Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, nikama kuna tatizo kidogo kwenye bongo zenu kuhusiana na Starlink

Waafrika siku zote nikama tuna laana linapokuja swala la kutumia akili ndiyo maana wenzetu rangi nyeupe watazidi kuwa juu

Makampuni ya simu ya Tanzania yanaendeshwa na wasimamizi wenye bongo changa na kama sivyo basi zimelala kwasababu ninyi mmekuwa kikwazo kikubwa cha kuzuia Starlink hapa Tanzania kwasababu za hovyo na za kijinga kwamba mtakosa wateja Starlink itakapoingia

Badala ya kufikiri ujinga huu mnapaswa mboresha huduma zenu za internet ikiwemo kuongeza speed itakayofanana na ya Starlink pamoja na kuboresha huduma nzima ya Mawasiliano

Makampuni ya simu ya Tanzania yanaingiza mapato makubwa sana lakini ni kama mna laana ya mafanikio sijui hizo fedha mnapeleka wapi mpaka sasa Tanzania huduma ya Mawasiliano kwa mikoa mingine ni changamoto kubwa sana hakuna Mawasiliano inafikia mahali Watanzania wanapanda juu ya miti au kusogea mjini ili wapate Mawasiliano hasa internet

Changamoto kama hizi mkitazama hamuoni kwamba mna kama ujinga flani hivi na ndiyo maana hamuwezi kufanana na wazungu mnabaki kuwa wajinga

Badala ya kutumia mapato yenu kuboresha huduma za internet mekaa ofisini kama vilema wanaosubiri kupewa, ondokeni humo ofisini nendeni mkajenge minara na kuongeza kasi ya internet mshindane na Starlink

Acheni ujinga wa kuzua Starlink
una hoja nzito za maana sana, lakini lugha unayoitumia katika kushauri na kutoa changamoto hizo muhimu sana kwa mustakabali wa mawasiliano bora, haiswihi hata kidogo, na kivyovyote vile utapuuzwa tu,

na ni dhahiri huenda tatizo kubwa zaidi linaweza kua ni upande wako 🐒
 
Ndio maana tunahitaji StarLink ilete changamoto na hayo makampuni yatazibuka tu.
 
kinachonichekesha ni kwamba wakenya wanakubali makampuni ya simu ya tz kuwa yana offer affordable internet kwa sababu yana ushindani kuliko wao maana safaricom ni monopoly airtel ipo kama haipo kwao. sasa bado safaricom inaiomba star x eti iwe ndiye wakala wa kuuza vifaa vyake kenya kitu ambacho wakenya wanasema hawataki hao wawe middlemen maana wanawaibia.
 
Hao walikua wanatumika na wanasiasa na matajiri wakubwa wenye hisa humo,,,,kwa sasa hali inaenda kua mbaya kwao
 
Makampuni ya Simu ya Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, nikama kuna tatizo kidogo kwenye bongo zenu kuhusiana na Starlink

Waafrika siku zote nikama tuna laana linapokuja swala la kutumia akili ndiyo maana wenzetu rangi nyeupe watazidi kuwa juu

Makampuni ya simu ya Tanzania yanaendeshwa na wasimamizi wenye bongo changa na kama sivyo basi zimelala kwasababu ninyi mmekuwa kikwazo kikubwa cha kuzuia Starlink hapa Tanzania kwasababu za hovyo na za kijinga kwamba mtakosa wateja Starlink itakapoingia

Badala ya kufikiri ujinga huu mnapaswa mboresha huduma zenu za internet ikiwemo kuongeza speed itakayofanana na ya Starlink pamoja na kuboresha huduma nzima ya Mawasiliano

Makampuni ya simu ya Tanzania yanaingiza mapato makubwa sana lakini ni kama mna laana ya mafanikio sijui hizo fedha mnapeleka wapi mpaka sasa Tanzania huduma ya Mawasiliano kwa mikoa mingine ni changamoto kubwa sana hakuna Mawasiliano inafikia mahali Watanzania wanapanda juu ya miti au kusogea mjini ili wapate Mawasiliano hasa internet

Changamoto kama hizi mkitazama hamuoni kwamba mna kama ujinga flani hivi na ndiyo maana hamuwezi kufanana na wazungu mnabaki kuwa wajinga

Badala ya kutumia mapato yenu kuboresha huduma za internet mekaa ofisini kama vilema wanaosubiri kupewa, ondokeni humo ofisini nendeni mkajenge minara na kuongeza kasi ya internet mshindane na Starlink

Acheni ujinga wa kuzua Starlink
Sisi tunawataka star link hizi kampuni zetu zinatuibia sana.speed ndogo,usikivu hafifu pia bei za bandia ziko juu sana.tunataka kampuni zishindane soko si kampuni chache ziwe monopoly.kama kutuibia tuliisha ibiwa sana sasa ifike tu pahala akina starlink waruhusiwe.makampuni haya ya magabacholi ni ya kijizi.ukiona kampuni za Kiasia sokoni ujue twafa.
 
Naskia hao starlink wanaweza operate TZ bila kuwa na mfanyakazi hata mmoja ndani ya nchi
Siyo Tanzania tu ila popote Duniani wanaweza ku operate bila ridhaa ya local authority. Mfano ni kule Iran ambako hawana ofisi wala wakala lakin walisha activate internet ya Starlink kitendo kilichoikera na kulaaniwa na utawala wa Tehran. Ni swala la muda kabla ya Voda na wenzie kujua kama kweli yajayo yanafurahisha.
 
una hoja nzito za maana sana, lakini lugha unayoitumia katika kushauri na kutoa changamoto hizo muhimu sana kwa mustakabali wa mawasiliano bora, haiswihi hata kidogo, na kivyovyote vile utapuuzwa tu,

na ni dhahiri huenda tatizo kubwa zaidi linaweza kua ni upande wako 🐒
Mtanzania bila kumtukana hapati akili
 
Nchi haiwezi kuendelea pasipo kuwa na kasi ya internet
 
Back
Top Bottom