[h=5]Kampuni za simu zalipa bil. 64/- kwa miaka 5 : KAMPUNI za simu kwa miaka mitano zimelipa jumla ya Sh bilioni 64 kama kodi ya kampuni hadi kufikia mwaka 2010 huku uwekezaji wa kampuni hizo ukiwa umefikia Sh trilioni 2.6 kiasi ambacho ni sawa na ongezeko la asilimia 46 kwa mwaka[/h]