Kampuni za simu zalipa bil. 64/- kwa miaka 5

Kampuni za simu zalipa bil. 64/- kwa miaka 5

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
[h=5]Kampuni za simu zalipa bil. 64/- kwa miaka 5 : KAMPUNI za simu kwa miaka mitano zimelipa jumla ya Sh bilioni 64 kama kodi ya kampuni hadi kufikia mwaka 2010 huku uwekezaji wa kampuni hizo ukiwa umefikia Sh trilioni 2.6 kiasi ambacho ni sawa na ongezeko la asilimia 46 kwa mwaka[/h]
 
Mkuu hapo kutakuwa na tatizo maana kodi kama hiyo imelipwa na mabenki mawili tu mwaka jana. Kama sikosei faida ya vodacom kwa mfano nikubwa kuliko faida anayopata NMB kwa Mwaka!!!!!!
 
Back
Top Bottom