Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
- Thread starter
-
- #21
Ampigie huyo tax driver aje amchukue nyumbani kwenda mahali wakati mkewe akiwepo nyumbani na asimpe nafasi ya kuwasiliana naye. Ikiwezekana atumie namba ambayo mkewe hajui. Atapata majibu yenye kuelekea ukweli.
Ashamaliza mzizi wa Fitina hapo; amconfornt mkewew na alazimishwe simu ipigwe mbele yake; na pengine hata yeye ampigie huyo jamaa kumtafadhalisha aachane na mkewe!😀
Ashaupata ukweli sasa anataka kufumania? Anaweza kuhimili matokeo ya fumanizi?
ninavyomfahamu jamaa yangu kwa hasia, akifumania ataua mtu siku hiyo!!!
Ok nimekuapata; alonge na mkewe na kumwambia wazi kuwa he knows what going on na kama mke akibisha athibitishe vinginevyo hapo hapo! Na amuase mkewe aache utoto; la basi atamke wazi kuwa hapo ndoa haipo na mwambie kuwa aonyeshe dhamira ya kweli kuwa asipojulishwa kinachoendelea basi amchukulie hatua; aidha kuhakikisha huo ufirauni haundelei ama kummwaga; basi!
Hakuna kitu kizuri na kibaya kama instincts; na hujatuamabia hapa mkewe alitoa maelezo agami kuhusu wasiwasi wa mwenzie akiwa a ushahidi wote huo?
hayo mambo yapo; Grace wa saloon; fundi wa kushona nk
Hajajibu swali langu!
KIFUA ANACHO YAKHE?!
Maana asije dondoka kwa mshtuko!
We kama vipi akubali matokeo tu! Ya nini kujifia kwa presha?
mkuu, mshikaji anatonya kuwa kishafanya hivyo, ndio maana aligundua kuwa yule jamaa wala si tax diver wala nini bali hawara tu kwani alisema kila alipompigia alizuga kuwa yuko mbali na ajaribu axi nyingine!!!
ni kwamba kwa vile hawana mipaka ya simu na wife ndio wife akamseve kma taxi driver ili mzee akikutana na no hiyo asishtukie dili.
Mwambie aache upuuzi.
mkuu,
dark city akikusoma hapo kwenye bold, ataingilia kati sasa hivi!!!!!!!!!!!
sijapendezwa na jinsi mnavyolichukulkia hili suala. kama vile rahisi sana. nyie wote mnaosema aache upuuzi mna matatizo, tena si madogo. i can tell from what you have written. hamna uwezo wa kujibainisha (empathy) kujua huyu jamaa anahisi nini. mkeo kuliwa au mumeo kuiba nje kwenu. muelekezeni ni vipi anaweza kutatua tatizo lake na si kukejeli. hao wa makampuni ya simu mbona huwa wanatoa hhizp taarifa? be wise
😀 na haya makampuni ya simu yakianza kutoa siri za wateja basi itabidi watu warudi kwenye zama za kati za mawe sijui walikuwa wanawasiliana kwa njia gani?